Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.
Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and...