Hata kama umekwama kiasi gani kifedha au kihisia, hakikisha kuna namba za simu ambazo huzipigii kamwe ili kujiepusha na madhara makubwa zaidi.
Dharura na shida ni mambo ya mpito, lakini maamuzi unayoyafanya ukiwa katika hali ya kukata tamaa yanaweza kukuandama na kukuharibia heshima na furaha...