huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Mhagama: Huduma za Uchunguzi wa Magonjwa Sasa Kupatikana Wilayani Mwanga, Kilimanjaro

    WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa magonjwa ikiwemo huduma za upimaji wa kansa ya matiti kwa akina mama pamoja na Ultrasound kwa ajili ya...
  2. Wapambanaji: Kama unataka kufungua duka dogo la kuuza accessories & huduma ndogo ndogo zinazohusu magari pitia hapa!

    Wakuu. Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia. Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara. Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza...
  3. Lwamo: Zaidi ya Asilimia 90 ya watoa huduma migodini ni Watanzania

    Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo kwenye migodi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 7, 2024 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini...
  4. K

    NMB Kariakoo Siku ya Huduma kwa Wateja haiwahusu

    Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa. Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi yenu ya Loyal customers ambayo pia nailipia. Kuna madirisha manne lkn mara nyingi kama sio zote...
  5. Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  6. Computer4Sale Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi

    Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi 📢 Wanafunzi wa Vyuo Mnakaribishwa! 📢 Unahitaji huduma za haraka na nafuu za stationery? Karibu Dodoma Mjini kwa huduma za: ✅ Printing za miradi, makala, na nyaraka mbalimbali ✅ Scanning ya hati muhimu kwa ubora wa juu ✅ Photocopy ya haraka...
  7. Ofisi za umma zisizo na eneo la wageni kukaa wakisubiri huduma ina maana gani?

    Ni jambo la hovyo sana unafika ofisi za umma kuhudumiwa unakuta hakuna mahali pa raia/wateja kukaa kusubiria zamu yao kuhudumiwa, watu wamezagaa tu kwenye koridor kama nzi. Ni kero zaidi ukizingatia watumishi wengi utoaji huduma wao ni wa taratibu sana(slow people) na bado huwa wana muda mwingi...
  8. Serikali yakabidhi gari la kubebea wagonjwa, litatoa huduma kwa wafungwa na mahabusu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu. Katibu Mkuu amezindua na...
  9. M

    Wasafibet kitengo chao cha Huduma kwa Wateja kinawaharibia kwa kutoa lugha chafu na kuibia wateja!

    Mimi ni mteja mzuri tu wa betting companies( ambaye sometimes nabet mpaka 40M kwa mwezi). Miezi kadhaa iliyopita nilihamia Wasafibet baada ya kuona wanatoa odds nzuri na mechi nyingi zaidi in play na app yao ni user friendly( kwa hilo nawapongeza na kuwapa maua yao). Kinachonitatiza ni kitengo...
  10. P

    Asionewe AWESO, Wizara/Idara zipi zinafanya vizuri katika utoaji huduma bora kwa watanzania?

    Kumekuwa na malalamiko makubwa ya upatukanaji duni wa huduma ya maji hususani katika jiji la Dar es salaam. Watanzania wamekuwa wakimtaka Mh. Aweso aachie ngazi nafasi yake ya uwaziri kwa kuwa wizara imemshinda. Binafsi nimekaa nikajiuliza, tofauti na wizara/idara za kukusanya pesa kutoka kwa...
  11. Hongereni TTCL kwa kuboresha huduma ya Internet

    Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida. Hongereni TTCL.
  12. KERO DAWASA, ni lini mtatoa huduma ya maji bila mgao?

    Habari wakuu, Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi, Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
  13. Tunatoa huduma ya kukata miti maeneo ya ujenzi

    Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine. Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam. Bei zetu ni nafuu sana Mawasiliano: 0758700852/0694340728
  14. KERO Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza hatuna Huduma ya Maji zaidi ya Mwezi, Wanaoboresha Barabara wameharibu Mabomba

    Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji. Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
  15. Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  16. Kilimanjaro: Milion 780 kuboresha huduma ya Maji Marangu Mashariki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi ( MUWSA) imekusudia kutekeleza mradi wa majisafi wenye lengo la kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwenye vijiji vya Samanga, Rauya pamoja na Ashira vilivyoko kwenye Kata ya Marangu Mashariki Wilaya ya Moshi Vijijini Kilimanjaro...
  17. wewe ni mtoa huduma tu

    mdada kama una bwana ni muendesha magari yaani fuso zinazo toka nje ya nchi na kila akienda kupeleka mzigo nje na wewe unaenda kujifanya unapenda sana wakati uho mwezio jicho lake kwako ni kwa tamaa za mwili anakuona kama mtoa huduma siku huduma yako ikiisha au akiona imekuwa mbaya anatafuta...
  18. Royal Oven hongereni kwa huduma nzuri ila mapungufu yapo.

    Customer service au huduma kwa mteja ni sehemu nyeti sana ya biashara yoyote duniani, ni kioo cha mwanzo cha biashara iwe inafanya kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kuna baadhi ya makampuni ili wakupatie ajira basi lazma uwe na vigezo kama uso usio na chunusi, uso nyororo na mwenye umbo namba nane...
  19. Kwanini TTCL Haitoi Hatua Dhidi ya Namba za Simu Zinazoripotiwa kwa Utapeli?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli huo ni za TTCL. Watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa kwa kutuma namba husika kwenda 15040, ambayo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…