Hali zenu, SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikolojia, ndivyo watu wa karibu wanavyosema. Nina matatizo yafuatayo:
1. Ni mkimya sana mpaka nakera. JF ni...