Habari ndugu zangu wapenda muziki wa dansi!
Ninatafuta wimbo wa zamani wa bendi ya dansi, uliosikika sana miaka ya 2002/2003 kwenye redio. Sikumbuki jina la wimbo wala bendi, lakini mashairi yake yalikuwa na maneno kama:
"Masai kavamia pori kakutana na Wamakonde,
Wamemchoma mishale ya sumu...