kimkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je ni mbinu ya kimkakati kuwapa uraia wachezaji wa kigeni kwa maandalizi ya CHAN na AFCON?

    Wakuu nadhani siyo jambo la kawaida uraia kutolewa kwa wachechezaji wa kigeni,ilianza kwa Singinda Big Stars sasa nasikia Simba nao wachezaji 9 wanaomba uraia. Nimewaza tu je huu sio mpango kweli kwa mechi za kimataifa kama CHAN na AFCON ili tuwe na kikosi imara cha Taifa Stars? Tusishangae...
  2. G

    Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
  3. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Eneo (Site) Ujenzi wa Soko la Kimkakati la Kabanga kwa Mkandarasi

    06/12/2024 Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba G Ruhoro kwa ushirikiano na Ofisi ya Kilimo Wilaya wameshiriki kumkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi na umaliziaji wa soko la Kimkakati Kabanga. Hii ni utekelezaji wa ahadi ya RUHORO na DIWANI wa Kabanga Mh Hafidhi Abdallah waliyo...
  4. J

    JamiiForums na LHRC zasaini Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati

    Taasisi za JamiiForums (JF) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zimeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) katika masuala anuai ikiwemo kuhakikisha uwepo wa Sera bora nchini; kuimarisha Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Utawala Bora, kuchochea Haki ya Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa...
  5. Gari dogo la kukodi mkoani Kagera na mwanamke wa kupiga naye story za kimkakati

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu ,salamu haikuongezei thamani . Mwenzenu nipo mkoani Kagera specifically katika mji wa Bukoba mjini ,popote mlipo mnaojua mnakodisha magari madogo kwaajili ya kufanya michakato yangu ,tafadhali naomba mnitafute PM ,kwa kuandika namba yenu Kama kichwa Cha...
  6. Taasisi za kimkakati zilizoasisiwa na Mwalimu Nyerere

    Kwa nini anaitwa baba wa Taifa.... Ni kwa sababu aliweka msingi na mikakati ya Taifa la Tanzania. Kama umepata fursa ya kutembea nchi hii ndio utaelewa Baba wa Taifa alikuwa ni kichwa haswa. Zipo Taasisi za kimkakati alizoasisi na hadi sasa zimebaki kuwa ni muhimili wa Taifa kusonga mbele...
  7. Inawezekana Kikeke katumwa na kufadhiliwa kimkakati na waajiri wake wa zamani?

    Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
  8. Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  9. M

    Usipoishi kimkakati mjini utaonekana uko bize muda wote kumbe unazurura tu

    MJINI ISHI KIMKAKATI LA SIVYO UTAISHIA KUZURURA NA KUTUMIKISHWA TU😔 Wimbi la vijana kupenda kuishi mijini hasa kwenye miji mikubwa lipo Duniani kote na hii ni kutokana na ukweli kuwa mijini kuna fursa nyingi zinazofanya matajiri wengi kutengenezwa huko. Pamoja na ukweli huo ila unatakiwa...
  10. M

    Mjini ishi kimkakati la sivyo utaishia kuzurura na kutumikishwa tu

    Wimbi la vijana kupenda kuishi mijini hasa kwenye miji mikubwa lipo Duniani kote na hii ni kutokana na ukweli kuwa mijini kuna fursa nyingi zinazofanya matajiri wengi kutengenezwa huko. Pamoja na ukweli huo ila unatakiwa mjini uishi KIMKAKATI la sivyo utakuwa mjini ndio ila kusindikiza tu...
  11. Ushauri wa kimkakati: Red brigade wapewe mafunzo ili kukabiliana na dhuluma ya polisiCCM.

    Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa. Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na Cuba. Lazimq tupinge uonevu na kujilinda.
  12. Swali la Kimkakati: Kwanini Tanga Isiunganishwe na SGR?

    Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
  13. Pre GE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
  14. hivi ni vituo ambavyo vina magenge ya ccm kimkakati kulinda watawala

    Katika maisha ya utafutaji na msafiri pia mtoto wa mjini kino ila tuseme ukweli ujui leo ni nani wala kesho ni humu jamiiforum na wafanyakazi wake. Vituo ambavyo nimevitaja sana kwenye kushiriki mada ni kuto cha ostabey na ndio sehemu ya kikosi kazi maskani yao ambao wamepewa mamlaka ya kwenda...
  15. Leo natengeneza ndoano ya kimkakati

    Weekend iliyopita nilikuta watoto wanavua samaki baharini karibu na mapango ya mawe Mida ya saa tano maji yalipokuwa yanajaa. Ikanivutia sana nikaomba nitengenezewe ndoano moja nikajaribu na mimi kuvua ila sikubahatika kupata samaki wale madogo walipata pata sasa nimekaa chini nimefikiria...
  16. SoC04 Madini ya kimkakati Tanzania, lulu inayotazamwa na dunia. Je, tumejiandaa?

    Tanzania tuiitakayo ni nchi yenye maendeleo makubwa zaidi ya watu katika ukanda wa Afrika mashariki. Itakayoweza kuondoa kabisa umasikini na kupunguza utegemezi wa misaada na mikopo. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Tanzania ipo eneo zuri kiuchumi (Good economic geographical position), kwa kuwa na...
  17. E

    SoC04 Kilimo cha mazao ya kimkakati kipewe kipaumbele kwenye mitaala ya elimu

    Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani iliyojaliwa rasilimali nyingi ambazo ni fursa kwa Taifa na watu wake. Miongoni mwao ni uoto wa asili, milima, vyanzo vya maji sanjari na ardhi yenye rutuba mwanana kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Japokuwa ni wazi kuwa bado...
  18. Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
  19. Mayele anatumika kimkakati

    Kuna namna ambavyo viongozi wa Simba wameamua kuwachezea mashabiki wao. Simba ilivyoenda Misri, stori kubwa ilikuwa ni Mayele kuitembelea Simba mara Mayele kuongea kuelekea mechi dhidi ya Al Ahly kisha boss wao Mo akapost kwenye ukurasa wake kaandika "Niseme au nisiseme" hiyo yote ni namna ya...
  20. R

    Si sahihi kupeleka watu walioshindwa katika mikoa ya kimkakati kama Arusha na Songwe

    Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma. Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…