Sijui Ni desturi yetu sisi waafrica. Unakuta kiongozi hapokei simu na ukizingatia kabla ya uteuzi au kuwa kiongozi simu alikuwa anapokea Ila baada tu ya kuwa kiongozi simu hapokei.
Viongozi wetu ukiwa mbunge, waziri, DC, RC, au naibu waziri, tunaomba simu ikiita hata Kama huna muda kwa wakati...