Wewe kijana mwenye kipaji, usisubiri fursa ikufuate,ndipo uonyeshe ubunifu na kipaji chako kwenye hii dunia ya kidigitali🤔
Nakupa mfano mzuri, kuna kijana mmoja maarufu mtandaoni, anaitwa David pensel, kaamua kutumia kipaji chake cha uchoraji kwa njia ya kujiongeza sana.
Yeye anatoka na...