UKOMBOZI WA TANGANYIKA UTAFANYWA NA NANI?
Taifa la Tanganyika linapitia kipindi kigumu kinachohusisha changamoto za ukandamizaji, uporaji wa haki za wananchi na unyonyaji wa rasilimali za taifa. Hoja na maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa, lakini bado hakuna hatua madhubuti za kutosha...