kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    TANESCO wanakata umeme kila siku Masaki kuanzia saa 12 jioni

    Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku...
  2. E

    Tetesi: Pitso Masomane kocha mteule SIMBA FC kuanzia leo saa moja kamili

    Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
  3. TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

    Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
  4. Kuanzia Leo Simba Mjifunze Mpira sio Hamasa kubwaa bali ni uwekezaji Mzuri.

    Nahisi Leo mmeona mmefungwa mbele ya Mashabaiki wenu Lukuki na hii ni Muendelezo wa kuonyesha wapi mnakwama. Sold Out bila Usajili mzuri mtaendelea kuchezea tu. Mlipigwa na Raja kwenye Full House hamkujifunza na Leo Yanga kawapiga Tena goli Nyingi. Basi Leten mabango yenu ya kua mnahamasa...
  5. Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  6. J

    Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

    Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni. Mpina ameomba Waziri Dr...
  7. Serikali: Elimu ya msingi mwisho darasa la sita kuanzia 2027

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, leo Bungeni ijini Dodoma alisimama kutoa taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa sera ya elimu na mafunzo ya Elimu 2014 toleo la 2023, amesema sera ya Elimu na mafunzo imefanyiwa mabadiliko kwenye maeneo kadhaa kulinganisha na sera iliyopita na maeneo hayo...
  8. Bilionea Chris Lukosi kuibadilisha Tanzania kuwa China kuanzia mwezi Disemba

    Baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuibadilisha nchi yetu kwa zaidi ya miaka 60 hatimaye zee la Madungu Chros Lukosi ameamua kulichukua suala hilo mikoni mwake na kuifanya Tanzania kuwa kama China, mabonanza yatakuwa yanatengenezwa Tabata, charger na earphone Kigoma, spea arusha, Simu...
  9. Wasanii 8 Kutoka Bongo Waliozaliwa Kuanzia Mwaka 2000 Kwenda Juu

    Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao 1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003 Label : Rockstar Africa 2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002 Label : The African Princess 3. Bruce Africa - March, 2000 Label : I AM Music 4. Cherry - July, 2000 Label : Bxtra Records 5. Anjella...
  10. Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  11. Elimu ya katiba kwa watanzania kipengele kwa kipengele, kuanzia ibara ya kwanza! (Darasa la wazi)

    Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
  12. R

    Ni lini Serikali ya CCM itanunua laptop kwa kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

    Salaam, Shalom!! Nimewahi kuandika Thread isomekayo, Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi. Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni...
  13. Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  14. Kwanini tarehe za 21 hadi 4 Wanajeshi wanakuwa na Furaha tele, ila kuanzia tu tarehe 5 hadi 20 Wanatia mno Huruma na kuwa na Usununu / Hasira?

    Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na...
  15. Ishmael alizaa Maseyidi (watoto) 12 ambao ndio Waarabu wa leo. Eneo lao la umiliki ni kuanzia Saudi Arabia kuelekea Ashuru na mashariki ya Misri

    ISHMAEL ALIZAA MASEYIDI(WATOTO) 12 AMBAO NDIO WAARABU WA LEO. ENEO LAO LA UMILIKI NI KUANZIA SAUDI ARABIA KUELEKEA Ashuru NA MASHARIKI YA MISRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna Watu wengi wanachanganya Madesa, kuchanganya waarabu na jamii zisizo na uhusiano na waarabu. Jamii za waarabu...
  16. Je, tatizo Kuu la Kizazi cha Kupambana Kimaendeleo, Kujinyima na Kivumilivu haliwezi kuanzia huu Utafiti wangu Binafsi?

    95% ya Watoto wa Kitanzania hasa waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi leo (sasa) wanapenda zaidi Kula Ubwabwa (Wali) na Kuuchukia kabisa Ugali (GENTAMYCINE ninaoupenda) uliotukuza Kaka na Dada zao Geniuses tuliozaliwa kuanzia 1989 kurudi nyuma. Wazazi wa sasa nawashaurini kwa nia njema tu...
  17. M

    Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

    Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake. Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
  18. FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
  19. Matatizo ya Simba yameanzishwa na Mo na kipa wake wa mchongo. (Wa billion 3). Wachezaji hawana morali kuanzia kambini

    Wachezaji hawana morali kabisa. Hii Ni kutokana na timu kutumia fadha nyingi Sana kukamilisha sajili za kimadili dili. Wakati Caf wakitoa billion 5 za usajili Simba. Viongozi walitumia pesa hizo zote kusajili wachezaji wazuri na kuweka timu kambi uturuki. Baada ya Mo kuona kilakitu kimeenda sawa...
  20. Taifa stars, kizazi hiki Cha kuanzia 2000 ndio tumeshuhudia stars bora kuwahi kutokea

    Kuanzishwa 1925 Mchezo wa kwanza Uganda 3-10 Tanganyika Baada ya Muungano 1969 Tanzania 10-1 Kenya Ushindi mkubwa kwenye mechi ya mashindano Tanzania 7-0 somalia,,,jinja Uganda 1/12/1995 na Kampala 1/5/2012.. Kipigo kikubwa .. Tanganyika 8-9 Kenya 1956. Baada ya Muungano Algeria 7-0...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…