kufanya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  2. X

    China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  3. Nahitaji kufanya biashara ya mbao

    Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia biashara na kugawana faida Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya...
  4. Kufanya biashara na wajasiriamali ni kazi ngumu sana

    Hizi ndo hints; 1. Wengi wao wanahali mbaya 2. Wengi wao hawana ela 3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa 4. Wengi wao ni walalamishi. 5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
  5. Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  6. Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  7. M

    Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
  8. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  9. Kuna binti anataka kufanya partnership (biashara) na wifi yake (mke wa kaka yake)

    Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka. Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye partnership. Watu wenye uzoefu na biashara za kufanya na ndugu hili swala mnaweza kushauri vipi.
  10. Dhuluma ya viwanda vya kufungasha mitumba China, sababu kuu ya kumzuia mke wangu kufanya biashara ya mitumba

    Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili achague nguo za kufanya usafi ili aanze kuuza huwa alikutana na taka nyingi sana za matambara...
  11. Kuruhusu machinga kufanya biashara barabarani sio kuwapenda

    Machinga wapo kila pahala Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road Hizi ni sehemu hatarishi Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo na msingi Watu wa mpango mji mnafanya Nini ofsini Tunajua hawa ndo wapiga kura ila serikali ni...
  12. Hivi kuna watanzania wanaoishi na kufanya biashara India?

    Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of racism in India share their stories
  13. WANAWAKE wa BONGO, wengi wanaongoza kwa kufanya biashara zisizo kuwa na TIJA.

    Habari zenu wana MMU πŸ‘‹πŸ½ πŸ‘‹πŸ½ Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija. Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
  14. WANAWAKE wengi TZ, wanaongoza kwa kufanya biashara ambazo hazina tija.

    Habari zenu wakuu πŸ‘‹πŸ½ πŸ‘‹πŸ½ Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija. Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa...
  15. Je’ unataka kufanya biashara ya mtumba na hujui Machimbo ya kupata nguo quality njoo nikuelekeze au kukupeleka kwa bei nafuu

    Karibuni jamani niwaelekeze sehemu za kupata mitumba safi hasa kwa wale wenye vipato vidogo na unataka kuanza biashara usisubiri hadi upate mtaji mkubwa unaweza anza na kidgo nitakuonesha sehemu nzuri ambazo unaweza pata nguo hadi kwa 300 au 500 unakwenda kunuosha na kuuza bei ambayo itakupa...
  16. EWURA yatoa wito na kutangaza kipindi cha kupokea mapingamizi wa waliopata leseni ya kufanya biashara ya mafuta Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetoa taarifa kwa umma kuhusu maombi ya vibali vya ujenzi wa miundombinu ya mafuta na leseni kwa ajili ya biashara na shughuli mbalimbali katika sekta ya mafuta ya petroli. Taarifa hiyo ya EWURA imewataja waliiomba vibali vya ujenzi...
  17. Wasanii wetu wengi bado hawajui kufanya Biashara na makampuni

    Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa. Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa wasomi wanakuwa na tamaa ya pesa, wanachokitaka ni msanii kuingiza pesa, wagawane na kisha wachukue...
  18. Nafikiria kuacha kazi nifanye biashara

    Aslaam, Nafanyakazi katika kampuni binafsi na mshahara wangu hauzidi 600,000. Mpaka sasa nina kama miaka mitatu hivi kwenye hi kampuni. Wakati naanza kazi malengo yangu makubwa ni kutafuta mtaji then nikipata mtaji niache kazi nikaanze biashara zangu. Kiukweli mi niko vizuri saaana kwenye...
  19. Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  20. Nimehitimu chuo mwaka huu; mtaji wa Tsh. 500,000 naweza kufanya biashara gani?

    Mimi baada ya kumaliza chuo mwezi wa saba nimejaribu kuomba kazi maeneo mengi ila nimekosa kisa Sina uzoefu wa kazi. Nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu WanajamiiForums mnisaidie. Je, ni biashara gani nzuri ambayo naweza kufanya nikiwa na mtaji wa laki tano?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…