kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tujikumbushe kuhusu Ontario(Sirjeff Denis)

    Je Kuna kitu kime kuinspire kuhusu huyu mwamba ingawa last seen yake ni 2019. Tujuzane wadau
  2. Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

    Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana Kilicho Nichanganya ni Mtumaji . Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisa Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link Kutoka Sehemu...
  3. Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason πŸ˜‚ Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" πŸ˜‚ Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  4. A

    DOKEZO Hatari sana: Utapeli unaoenea kwenye biashara ya forex Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa na utaalamu wa masoko ya kifedha, inasikitisha kuona jinsi baadhi ya watu wameigeuza kuwa mtandao...
  5. Pre GE2025 Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS Kuhusu Kero Sugu ya Uhalifu wa Kiuchaguzi Unaofanywa na Wanasiasa Matapeli Wakati wa Chaguzi tangu 2010 hadi 2024

    I. USULI Usanifu wa hoja makini hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry), kufanya ushawishi ili watu baki wakubali hitimisho lako la kiutafiti (convincing)...
  6. S

    Parkinson's Law of Money (Sheria ya Parkinson Kuhusu Fedha)

    Habari wanaJF, Ni mimi tena, na nimeamka salama. Nimechelewa kuingia kazini leo, ila Mungu ni mwema nimeanza. Kuna habari njema naitegemea kutoka sehemu (ntawajuza mambo yakiiva). Ngoja tuendelee kuongea kupoteza pressure... Umewahi kushangaa kwa nini kuna watu wanapiga hatua, hata endapo wana...
  7. Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  8. Tujadili Kuhusu Utapeli Mtandaoni – Je, Tunajilindaje?

    Habari wadau, Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja zinazobuniwa na matapeli wa mtandao. Katika mjadala huu, tuzungumze kuhusu: βœ… Aina mbalimbali za utapeli...
  9. T

    Pre GE2025 Anayemuelewa Tundu Lissu anachomaanisha kuhusu uchaguzi anieleweshe kila nikijitahidi kumuelewa naambulia sifuri

    Anasisitiza kwamba no reform no election. Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi. Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election. Utata unakuja namna...
  10. Matukio ya Kutisha na Habari za Ajabu na za Kushangaza Kuhusu Biblia

    Biblia Imenusurika Mara Nyingi Kuangamizwa – Wakati wa utawala wa Diocletian watu walikatazwa kutumia Biblia. Nakala zake zilichomwa, na waliomiliki waliuawa. Licha ya mateso hayo, Biblia ilizidi kuenea. Biblia Imekuwa Kitabu Kinachouzwa Sana Duniani – Licha ya kupingwa sana, Biblia inashikilia...
  11. Putin akimcheka na kumrekebisha Waziri wake kuhusu mauzo ya kitimoto Indonesia

    Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia...
  12. Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

    Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea. Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika za shughuli za hii harusi zaidi ya wiki moja sasa ila cha ajabu wakiingia uwanjani wao ndiyo wana...
  13. NAOMBA kujua kuhusu kilimo Cha tangawizi?

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  14. T

    Je, nini kitangulie Mabadiliko ya Sheria au Utashi wa Kisiasa kuhusu Uchaguzi huru?

    Kuna tatizo kubwa sana kuhusu uchaguzi huru wazi na wa haki nchi hii kiasi cha kwamba kila mwananchi amekata tamaa na suala hili. Mimi na wananchi tunajiuliza tatizo ni kukosekana kwa utashi wa kisiasa na Rais na viongozi wengine kuwa na utashi wa kisiasa wa kutoa miongozo thabiti ya walio...
  15. Naomba Kuuliza, Sio Kwa Ubaya Lakini Ni Katika Kujifunza... Ni Kuhusu Jumamosi..

    Good Sunday Ladies And Gentlemen... Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo... ..Ni Siku Ya Usafi Kwa Nchi Nzima. Hivyo Iliwalazimu watu wote, Sekta Zote, Biashara Zote Na Kila Kinachofanya Kazi...
  16. P

    Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  17. T

    Uchambuzi Fikilishi Kuhusu Majibu ya Hospitali ya Mlonganzila Kufuatana na Tuhuma ya Huduma za Hospitali Hiyo ya Taifa Muhimbili-Mlonganzila

    aada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi. Kusoka hoja za Wadau bofya hapa chini: ~ DOKEZO: Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake...
  18. Ningependa kusikia kauli ya Mwenyekiti mpya kuhusu kijana wetu Soka na wenzake moyo wangu umejawa hofu juu yake

    Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa chama. Moja ya jambo/ kauli ya msingi ningependa kusikia kutoka kwako kama msimamo wako na wa chama...
  19. Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza Bandari mpya ya Bagamoyo nchini Tanzania.. ====== Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia...
  20. Leo natoa siri zote. Mnataka kujua lolote kuhusu uganvuchawi niulizeni mimi

    Miaka mingi sana najificha na sitaki zungumzia haya mambo lakini kwa kile nlichokiona usiku huu nimeamua tu kumwaga mboga kwakua wao wamemwaga wali. Niulize chochote nitakujibu elimu yote ipo hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…