kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Kila ninapoiona sura ya Mama Abduli au kusikia sauti yake huwa nachukia ghafla. Ni heri nimuombee shetani asamehewe na Mungu kuliko mama Abduli

    Hakuna madhara ya moja kwa moja nimeyapata kupitia yeye. Ila niseme tu ukweli kwenye maisha yangu sikuwahi kumchukia mtu kuliko ninavyomchukia huyu mama abduli na genge lake. Ni heri nimuombee shetani asamehewe na Mungu kuliko mama abduli.
  3. JamiiForums Tanzania Tunangoja Zaidi Kuliko Kuishi?

    Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi. Tunangoja tumalize shule. Tunangoja tupate ajira. Tunangoja tupate mchumba. Tunangoja mchumba abadilike. Tunangoja ndoa. Tunangoja tujenge. Tunangoja tupate watoto. Tunangoja tuongeze elimu. Tunangoja tupande cheo. Tunangoja...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi mna habari Samia ni dikteta kuliko Museveni?

    Nipo jikoni na nimeamua kulipuka ukweli. Anacho amua yeye ndo afla na omega. Ukimpinga kidogo tu uwe tayari kwa lolote. Sura sio Roho amini nawaambia!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko nchi ( msukuma cjakuelewa / kupigana short umemanisha nini

    Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi Ni pesa au Nini kilichojificha .. Msukuma unasema kupigana short Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short Kwa hyo...
  6. JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  7. JamiiForums Tanzania 2080 idadi ya wanawake itakuwa kubwa kuliko wanaume

    Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume. Chanzo : NBS
  8. JamiiForums Tanzania KERO Responded TANESCO kwanini mnakuwa na huduma mbovu hivi? Mmetanguliza pesa kuliko huduma!

    TANESCO Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi langu ulianza tarehe 27/01/2026, ambapo niliwasilisha maombi ya kuunganishiwa umeme mara baada ya kuona...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna martial art bora kuliko Judo?

    Nimeona wanamartial arts wengi wanapigwa na wacheza judo. Je judo ndiyo martial art bora zaidi?
  10. JamiiForums Tanzania Nilitaka kununua Drone kwa matumizi binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko za kununua?

    Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania 1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja) 2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kupata mtoto ni rahisi kuliko kupata ajira

    ANAANDIKA BICHWA KOMWE 👌 Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi. Watu wengi hudhani kwamba kupata mtoto inahitaji mikito mingi au kujitutumua na pampu nyingi, LA HASHA...
  12. JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu? Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI. Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya. Amri zote walizotoa hakuna...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Bora LISSU anyongwe kuliko samia Kuitwa Mahakamani

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Bora Lissu kunyongwa kuliko Samia kukanyaga Mahakamani.

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 Almaarufu kama Gen Z uwezo wenu wa Akili ni mdogo kuliko vizazi vingine

    Kama inavyoonekana hapa Gen Z uwezo wenu wa akili umethibitika kuwa ni mdogo na hiyo ipo wazi tunaiona hata kwenye maisha ya kila siku. Hata hivi juzi kuna mhadhiri wa chuo kikikuu cha Dar es Saalam alieleza pia. Hivyo mnatakiwa mtuheshimu sana sisi kaka na dada zenu Millennial. This major...
  16. JamiiForums Tanzania BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika. Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao...
  17. JamiiForums Tanzania Watibeli tunajua Pesa inauma kuliko Mapenzi ndio maana hatumgharamikii Mwanamke

    WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kabla ya kuhonga mwanamke, umpendaye, umemtumia mama yako pesa maradufu kuliko ya kumpa mwanamke wako. Hakikisha umejiridhisha wewe kabla ya

    Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao. Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
  19. JamiiForums Tanzania Shida ya Simba ni Simba yenyewe, umbumbumbu ni mwingi kuliko weledi.

    Tofauti ya Yanga na Simba ni viwango vyao vya umbumbumbu. Umbumbumbu wa mashabiki wa Simba ulianza kutangazwa na mwanasimba mwenzao Kaduguda na kukolezwa na Rage. Ukiona mashabiki wanakunya hadharani mchana kweupe hao unaweza kuwageuza unavyotaka kama samaki kikaangoni. Ni mchezaji gani Tz...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…