kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Waziri Kadogosa kutoa maelekezo, Mitambo 41 yarejeshwa katika Mradi wa Iringa Bypass

    Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  3. JamiiForums Tanzania Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lamec

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
  5. JamiiForums Tanzania ACP Mwanyasi aongoza maofisa wa polisi K'njaro kutoa pole msiba wa ajuza wa miaka 120

    Habari Kutoka Dawati la habari polisi Kilimanjaro Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Polisi Jamii kwa kushirikiana na Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto, limetembelea familia ya marehemu Elizabeth Yohana Simba na kutoa pole kufuatia kifo chake akiwa na umri wa miaka 120, katika...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ifakara, mradi wa maji miji 28, kutoa hali ya huduma asilimia 42 hadi 100

    Mradi wa maji wa miji 28 Ifakara, kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa asilimia 100 kutoka asilimia 42. Maji yatazalishwa kwa siku lita milioni 20 kwenda kwa wananchi, ilhali mahitaji ya wananchi kwa sasa ni milioni 10. Serikali imewekezakiasi cha Shilingi bilioni 48 katika kuhakikisha...
  7. JamiiForums Tanzania Nini inasababisha wanawake wengi ( slay queen) kutoa harufu mbaya ya mdomo?

    Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

    Habari ndugu?... Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari.. Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake..... Then...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kuimarisha uwezo wa nchi kujiandaa na maafa kwa kutoa mafunzo

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu inaendelea kuimarisha uwezo wa nchi katika kujiandaa na kukabiliana na maafa kwa kutoa mafunzo kwa Timu ya Taifa ya Kukabiliana na Dharura, inayolenga kuongeza ufanisi wa uratibu na utekelezaji wa hatua za kukabiliana na matukio ya dharura. Hayo yameelezwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CWT (Chama cha Walimu Tanzania) kimeanza kutoa mlio hadharani

    Historia ya kuanzishwa kwa vyama vya wafanyakazi ilikuwa ni kuja kuwa sauti ya wafanyakazi dhidi ya mwajiri Hata hivyo, baadhi ya viongozi wa vyama hivyo wamekiuka lengo na kuvigeuza kuwa vitegauchumi vya kujichotea hela na kuwatelekeza wanachama wao Moja ya chama hicho ni Chama cha walimu...
  12. JamiiForums Tanzania Kila siku Wakristo wanachinjwa nigeria, watu wasio na hatia wanauliwa Sudan, n.k, sasa unajiuliza tofauti na kutoa matamko kazi maalum ya AU ni ipi?

    Mtaji wa masikini ni nguvu yake mwenyewe. Ukitaka kuharibu siku yako nenda uangalie damu zinavyomwagika sudan na nigeria.
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama kuu kutoa hukumu kesi ya mawakili wa Tundu Lissu dhidi ya jeshi la Magereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji: Baba ndio anapaswa kutoa Baraka kwa watoto na si Mama

    Moja ya mijadala iliyokuwa na maoni mbalimbali ni hii video clip ya Mchungaji mmoja nchini Tanzania akisema kuwa Baba au Mwanaume ndio anapaswa kutoa Baraka na si Mama. Watu wengi wameunga mkono na wengine kupingana nae. Wengine walienda mbali na kurejea visa mbalimbali kwenye biblia Mwanzo...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi Wa Ubungo Wahamasishana Kutoa Ushahidi Kwenye Tume ya Jaji Lila

    Wananchi wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wamehamasishana kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Uchunguzi wa vurugu na uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Soma pia: Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Msando Aonya Wanaokataza Watu Kutoa Ushahidi Kwa Tume ya Jaji Lila

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewataka wananchi wa Ubungo kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo ipo katika Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja. Soma pia: Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia...
  17. JamiiForums Tanzania Huu muunganiko wa BASATA na manispaa katika Kutoa leseni ni kwamba IT wao uwezo wao mdogo au wamefanya kichaka Cha kuiibia serikali?

    Niende katika hoja Moja Kwa Moja Kwa Sasa ukitaka kuomba leseni Kwa baadhi ya biashara unatakiwa kwanza kuomba kibali Basata Yani ukiingia tu katika mfumo wa kuomba leseni unatakiwa kwanza uingize code ulizopewa basata ndio uweze kuendelea Sasa Cha kushangaza unaingia katika mfumo wa Basata...
  18. JamiiForums Tanzania Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  19. JamiiForums Tanzania Watawala wametoa pole kwa Wicknell Chivayo lakini wameshindwa kutoa pole ajali iliyoua Watanzania 30

    Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika. Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Habari za wakati wanaJF watukufu. Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga, Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…