Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..
Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.
Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..
Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..
Kesho...