maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANZIA MOZART MBENA AMEFARIKI DUNIA. ALIKUWA DJ MAARUFU MBEYA.

    Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ! Tutaonana baadae.
  2. Y

    Humu hadi ue maarufu ndio wapost Topic zako au ?

    YuleBoy hapa.......kuna post nimeweka kwenye forum naona imetupwa kapuni ......humu hadi ue maarufu ndio topic yako ionekane au?
  3. Nyimbo maarufu kuliko original zake

    1. Changes ya Tupac https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH Origina yake https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku 2. Forever Young ya Jay Z https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF Original yake https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0 3. Toy Soildiers Eminem...
  4. Tamasha la kizimkazi linadhaminiwa na nani? Na lina lengo Gani? Naona watu maarufu wamejaa kizimkazi

    Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu. Kuna hili tamasha linafanyika huko. Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika. Yaani watu mamia Kwa mamia...
  5. Shabiki maarufu wa Simba Nabii Meja atangaza kuhamia Yanga rasmi

    Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga. Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka...
  6. C

    Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  7. U

    Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie Napendelea zaidi...
  8. Viti vya plastic maarufu bedsofa vinauzwa

    hivyo vya piki ni vikubwa 25,000 kwa kiti kimoja kipya ukitaka used 20,000 na hivyo vya chocolate bei yake 20,000 kwa kiti vipyaaa kama ukichukua vingi 19,000 Simu 0743257669 vipo banana derively ipooo
  9. W

    Haya ni makabila ya wasanii maarufu Tz 255

    Diamond - kabila lenye asili ya Morogoro anaelijua atujuze Alikiba - Mhehe Rayvanny - Mnyakyusa Harmonize - Mmakonde Niki Mbishi - Mkurya Young Lunya - Mzaramo Bilnas - Mchaga
  10. Kwanini Dubai ni maarufu sana? Kipi cha kuvutia zaidi katika huo mji?

    Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida wanaodunduliza fedha za hapa na pale au kupata ufadhili wakiwa kama chawa kutembelea mji huu...
  11. Balozi Ami Mpungwe, kuwadi maarufu wa soko huria aliyepitwa na wakati

    Balozi Ami Mpungwe ni moja ya makuwadi maarufu wa soko huria akianza awamu ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete. Ni mtu ambaye anajihisi ana ukubwa wa tembo, na kuna watu wenye akili kama zake wanamuona gwiji. Alianza kufanya ukuwadi wa Tanzanite yetu wakati akiwa balozi wa Tanzania Afrika Kusini. Baadae...
  12. W

    Ni jina gani maarufu zaidi kwa makabila ya wasukuma na wahaya ?

    Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8) kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake. Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni...
  13. Kumi (10) Bora ya Mashabiki Maarufu, Vichaa na wenye mapenzi zaidi na timu zao Tanzania.

    Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania 10. GB 64 Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake. 9.Aggy Simba Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
  14. Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

    Songea Moshi Sumbawanga Kahama Kibaha
  15. G

    Ni kitu gani kakifanya Bambo kiasi cha kutrend ghafla na kuurudisha umaarufu wake uliopotea kwa muda mrefu

    Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g? Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya kuchanganya herufi kwenye maneno
  16. Baadhi ya Waandishi Maarufu wa Quran baada ya Kifo cha Muhamad

    Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi hata katika safari mbalimbali ambazo alifanya akienda kupora na kuchukua mateka. Alikuwa na jeshi...
  17. Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  18. Huenda wasanii/watu maarufu wetu ndio wakawa ‘ombaomba’ wakuu ama ‘the most state-priviledged’ hapa nchini

    Amani iwe nanyi! Kwa ufupi tu, nimejaribu kuwaza jinsi tabaka hili la watu maarufu, wakiwemo wasanii, linavyoishi kwa kututegemea sisi wananchi na kodi zetu. Msanii akiwa ana-rise to fame, ataomba support ya mashabiki (sisi) na hata serikali (kupitia mamlaka zinazowahusu) ili afike...
  19. L

    Wakati Marekani inaendelea kuilenga kampuni ya TikTok, TikTok inaendelea kuwa maarufu barani Afrika

    Katika siku za karibuni Marekani imeendelea na mpango wake wa kuishambulia China na makampuni yake, baada ya wabunge na ikulu ya Marekani kusema wana wasiwasi kuwa kampuni inayomiliki App ya TikTok inahatarisha usalama wa Marekani na inaweza kutumiwa kufanya ushawishi kwenye uchaguzi wa...
  20. TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…