machozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakatoliki wenzagu tumeshaanza kuyaandaa Machozi, kwani Mimi sipendi Unafiki na Kufichaficha nadhani Israeli hatomuacha Mtu huko Vatican

    Kama Ulaya ndiko kuna Kila Kitu cha Kumzuia Israeli asikibonyeze Kitufe, ila wameshindwa je, kuna sababu ya Kufichana?
  2. B

    Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

    Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu. Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah. Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli...
  3. TUKIO GANI LILIKUTOA MACHOZI KWENYE MAPENZI??

    Check out,
  4. N

    PICHA: Nimetazama hii picha BAWACHA walichomfanyia Mbowe nimebubujikwa na machozi

    === FREEMAN MBOWE kama kweli wewe ni mwanasiasa lazima ujue kuyatazama matokeo kabla ya Uchaguzi, Hii game umepigwa jiondoe ubaki na heshima yako
  5. L

    Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea. Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya...
  6. L

    Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama. Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
  7. M

    Usikubali kila mtu akufute machozi wengine wana leso zenye pili pilipili

    USIKUBALI KILA MTU AKUFUTE MACHOZI WENGINE WANA LESO ZENYE PILI PILIPILI Kilio chako kikisikika na kila mtu tegemea kutonyamanza kwa sababu kuna watu watatumia kama fursa ya kukuliza zaidi kwa sura ya kukufuta machozi kwa kutumia vitambaa vyenye pili pili. Kwa haraka utaona wanakuja kukusaidia...
  8. Kuweni baraka, sio kitunguu kuwatoa machozi wengine - Dkt. Biteko

    KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE - DKT. BITEKO - Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni -Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana - Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo. Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ...
  9. L

    Namshauri Paul Makonda asiwe anapenda kulia na kutoa machozi hadharani. Ajifunze kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni . Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
  10. Nimejaribu ku-google "Is Tanzania Safe?" niliyoyakuta nimebubujikwa na machozi!

    Wakuu, Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe? Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama. Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu...
  11. FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune. Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya: Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE. Pacome kapata...
  12. Profesa Jay machozi jasho na damu

    PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
  13. Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  14. Bwana yawezekana kupitia machozi haya kesho yangu haitakuwa hivi tena

    BWANA YAWEZEKANA KUPITIA MACHOZI 😭 HAYA KESHO YANGU HAITAKUWA HIVI TENA Mungu wangu nakushkuru kwa neema hii ya majira haya ya usiku. Ni mapenzi yako tu mimi kuendelea kuwa hai. Asante kwa neema hii🙏 Bwana yawezekana maisha ninayoishi leo au mapito ninayopitia nimesababishiwa na mtu au ni...
  15. P

    Jicho kutoa machozi

    Habari zenu, Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi, naombenmsaada kwa anayejua ni shida gani na kama kuna tiba ni hipi? Natanguliza shukrani
  16. O

    Mzee atoa machozi kisa mke wake. Watoto acheni ubaguzi badilikeni.

    Kuna siku nilikuwa nipo sehemu. Watu wakawa wanapiga stori kuhusu wamama kuwafungia vioo waume zao kwa watoto wao ili wasipate msaada. Yaani mama anawaambia watoto wake kuwa baba yenu mkimtumia hela anaimalizia kwa wanawake, pombe etc. ili mradi tu mme wake hasitumiwe hela. Muda mwingine maneno...
  17. Namna ya kukabiliana na mabomu ya kutoa machozi

    Wakati unapojikuta umerushiwa mabomu ya kutoa machozi bila shaka utakuwa unapitia madhara ya kemikali hiyo. Lakini unaweza kufanya yafatayo kupunguza nguvu ya athari yake. Songea sehemu yenye hewa safi haraka iwezekanavyo Osha uso wako kwa kutumia maji ya baridi. Pia, unaweza kutumia...
  18. J

    Luis Suarez amwaga machozi akistaafu Uruguary

    Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Akizungumza huku akitokwa na macho katika wakati wa mkutano na wandishi wa habari mjini Montevideo, Uruguay, Suarez mwenye umri wa miaka 37 amethibisha kwamba mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia wa nchi yake dhidi ya...
  19. G

    Pre GE2025 CCM kulikoni? Wanagawa kadi za chama chao kama njugu mitaani!

    Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM. Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na viongozi wa CCM wenye vitambi wakigawiwa kadi. Pia kuna akinamama wanaosimama njiani kualika wapita...
  20. L

    Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli. Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…