madereva

  1. JamiiForums Tanzania Madereva bora tufe tumesimama kuliko kuishi kwa kupiga magoti

    Mtanzania ni mpole, lakini akiamua jambo lake, utamuua tu. Jana nilikuwa naangalia vitisho vya Polisi nikabaki nacheka. Polisi wanahisi bado wanaheshimika kama zamani. Tangu waue 29.10.2025 heshima yao imeshuka. Wwanaonekakama kama wanyama mbwa mwitu.. Tunaishi nao kwa timing. Ama zetu ama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya nchi ilivyo sasa; madereva waliogoma wajiandae kisaikolojia

    Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  5. JamiiForums Tanzania Dereva Kasuka Makulu: LATRA wanatuvuruga sana, na tunachokiomba sisi madereva swala letu la pointi lifutwe

    Mmoja wa madereva aliyejitambulisha Kasuka Makulu akiwasilisha malalamiko yake mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema: “Madereva tunanyanyasika, tumekuwa kama jalala, hatuthaminiwi ndani ya nchi. LATRA wanatuvuruga sana.” "Mheshimiwa waziri sisi madereva tumekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

    Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu. Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu...
  7. JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva Utaondoka na Vyeo vya watu

    Mgomo huu ndo kielelezo cha kwamba watendaji na Wateule wa Samia hawajalli Shida za Wananchi. Yaani wanafanya kazi kwa Vitisho na Ubabe mwingi sababu hawajateuliwa. Serikali inayowajibika kwa Wanancgi lazima ifanye mabadiliko. Watu wanakaa Ofisini muda mrefu na kufanya kazi kwa Mazoea...
  8. JamiiForums Tanzania Ajira 360 Mwendokasi: Madereva na Maafisa Abiria

    Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria. Ajira hizo zinaongeza fursa kwa Watanzania, hususan vijana, huku zikiimarisha utoaji wa huduma za...
  9. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi park magari yenu kama mnawapenda madereva wenu

    Katika hili Wamiliki wapeleke Yadi magari yao kama Msando (wakiki msomi) alivyosema, kama wanawajali na kuwasikiliza madereva wao. Hii ni hatua mhimu ya wao kusikilizwa
  10. JamiiForums Tanzania Madereva wajitafakari

    Ukitoa madai yao MADEREVA wamezingua wamechukua nauli za ABIRIA wakijua HAMNA SAFARI huu ni UTAPELI, huko njiani wanazuia hadi magari ya wagonjwa YASIPITE kwa kupack magari yao na kuweka magogo barabarani hii si SAWA hudai HAKI kwa kunyima HAKI wengine. POLISI WACHUKUE HATUA KALI
  11. JamiiForums Tanzania Madereva kumbe na nyie mnamchukia rais aliyejipa madaraka huko porini?

    Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua. Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva wa mabasi ni haramu hawatakiwi kuchekewa

    Ninasikitishwa na kadhia ya mgomo wa madereva wa mabasi wanaoshinikiza eti wasikatwe pointi kwenye leseni zao wanapofanya makosa. Pamoja na hayo kuna mmoja nimemsikia akisema eti wanatozwa faini hata mara tatu ya kosa la kuzidisha mwendo na kwa hiyo anaona alistahili kuipa mara moja hata kama...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
  14. JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Mwanasheria na Wakili nguli Mheshimiwa Tundu Lissu aliwahikusema, siku madereva wakipaki magari yao yote watapati haki. Leo imetimia
  15. JamiiForums Tanzania VIONGOZI WA MADEREVA KUPEWA KESI YA UHAINI NA UGAIDI

    PoliCCM wanajiandaa kuwafungulia viongozi wa madereva kesi ya Uhujumu Uchumi au Ugaidi baada ya Madereva kugoma kuondoa mabasi.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini points wakatwe madereva pekee yao wakifanya makosa katika kazi yao?

    ●Vipi rais akifanya makosa? ●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao? ●nani anawakata points askari? maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila uoga wala aibu. Na wengine kwenye mengine.kwanini iwe madereva tu? Sheria zipo; Kama □kuonywa...
  17. JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hali ya mgomo wa madereva na wafanyakazi wa mabasi imeendelea kushuhudiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hapa ni stendi ya Nane Nane, Dodoma, hali ilivyo asubuhi ya leo baada ya mgomo...
  19. JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Kama ilivyo tangazwa hapo awali, Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania. Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi. Asante. Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma? Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki wa CCM na...
  20. JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva leo tarehe 29/09/2026.

    Mbona kama hii issue ipo serious sana aise. Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu. Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe. Vipi kwenu huko?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…