Nchini Tanzania, kiwango cha unywaji wa maziwa kwa sasa kinakadiriwa kuwa kati ya lita 47 hadi lita 70.5 kwa mtu mmoja kwa mwaka, kulingana na takwimu za serikali na sekta binafsi.
Kiwango hiki bado kiko chini sana kikilinganishwa na mwongozo wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na FAO...