manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama huyu mwalimu kaonekana katili basi walimu wa zamani wa Manyara ranch primary wangepelekwa the Hague kabisa

    Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Sumaye awaonya wanachama wa CCM Manyara wasibweteke Uchaguzi Mkuu

    Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu. Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
  4. JamiiForums Tanzania Tazama Nyuki Walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja na JKU FC katika dimba la Tanzanite Kwara Babati, Manyara

    Tazama namna nyuki walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja kutoka Nigeria na JKU FC ya Zanzibar ulisimamishwa hapo jana Jumatano baada ya kundi la nyuki kuvamia uwanja; wachezaji na waamuzi walilazimika kujilaza chini huku wengine wakikimbia hovyo kutafuta usalama.
  5. JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa, mganga wa kienyeji atajwa chanzo cha mauaji

    Polisi mkoani Manyara bado wanamsaka mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kutoa utabiri wa uongo uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne.Mwanafunzi huyo, Yohana Konki (17), alidaiwa kupigwa hadi kufa na wenzake baada ya kuaminiwa kuwa ameiba kompyuta mpakato (tablet). Yohana, ambaye...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mererani wamejazwa polisi wa kutoka Zanzibar, wengi wanaochimba Tanzanite wanatoka ZNZ. Madini hayawanufaishi watu wa Manyara. Samia atamaliza madini.

    Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
  7. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  8. JamiiForums Tanzania KERO Urundikwaji wa Uchafu mitaa ya mafichoni, Manyara-kiteto

    Kama kichwa cha habari kinavyosema,huu n mwez watu hali kama unavyo iona. Cc;Mwenyekit wa mtaa machifoni Cc:Mbwana Afya wilaya ya kiteto Cc:Mkurugenzi wilaya ya kiteto Cc: Mkuu wa mkoa wa manyara
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Manyara: Wananchi wandamana kumkataa Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za Wajumbe

    Wakuu! Huko Manyara Wananchi wamecharuka, wameingia barabarani kupinga Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za maoni za Wajumbe Kwenye video hii anasikika jamaa hapa akisema "Rais Samia tunateseka...Kura zote.. Tumeibiwa Kura...Tunamhitaji"
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi walia na majina ya watia nia kukatwa Mbulu, mkoa wa Manyara

    Wananchi wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamelalamikia hatua ya baadhi ya watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbulu vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuenguliwa katika kinyang`anyiro hicho akiwemo aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo, Bw. Flatei Gregory licha ya kukubalika na...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze majina ya Wagombea wa Hanang' Mkoa wa Manyara waliopishwa

    Namsikiliza hapa Makalla lakini naona mtandao umeshake. Kasema wagombea sita lakini nimewasikia wanne tu. Nijuzeni usahihi wa taarifa hii wadau
  13. JamiiForums Tanzania Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara

    📌Mhe. Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara . 📌Mitungi 16,275 kusambazwa mkoa mzima. 📌Kila wilaya kupata mitungi 3,255. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo Julai 11,2025 wilayani Hanang amezindua rasmi mradi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

    Wataalumu na viongozi njoo muone kwa macho. Yawezekana ni kukosena kwa Elimu, Mila a ujinga Wa wakazi husika au ukanda. Kaskazini vijana waimeisha huhitaji utafiti Bali unahitaji macho na miguu ya kutembea Kwenye mitaa na vijiji uone Hali Hali ya jinsia pombe Kali na bei rahisi zinavyoteketeza...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watumishi wa Magereza Manyara wapatiwa majiko ya gesi

    WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI 📌Mifumo ya uzalishaji wa bayogesi 126 mbioni kuanza 📌REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala 📌REA kuwajengea uwezo magereza uendelezaji miradi ya nishati safi 📌Mha. Saidy amewataka magereza kuwa mabalozi wa nishati safi...
  16. JamiiForums Tanzania Queen Sendiga: RC wa Manyara Mwanamke wa Shoka wewe unafaa uje kuongoza Dar

    Mimi Huyu RC namuona tu mitandaoni anavyopambana kuwaletea maendeleo wana MANYARA! Hakika wamebahatika sana! RV huyu hana hatauda wa kwenda saluni kujipamba yeye anasuka nywele zake 5 mzuka anaingia kazini. huyu anatufaa sana wana DAR ES SALAAM Hili jiji linataka mtu ambaye atawanyoosha watu...
  17. JamiiForums Tanzania Manyara: Bilioni 3 Kutumika Kuboresha Miundombinu ya Hospitali ya Manyara kwa Mwaka 2024/2025

    MANYARA: BILIONI 3 KUTUMIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HOSPITALI YA MANYARA KWA MWAKA 2024/2025 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma za afya katika mkoa wa Manyara kwa kutenga Shilingi Bilioni 3 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya...
  18. JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
  19. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Manyara hakuna tunachomdai Mama Samia

    Ilani ya CCM 2020-2025 , Mkoa wa Manyara, hakuna tunachomdai Mama Samia!
  20. JamiiForums Tanzania Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…