mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya Mapenzi na mvurugiko wa uchumi

  2. JamiiForums Tanzania Kwenye mapenzi

    Ukiachana na matapeli na mafisadi wa mahusiano, halafu kuna sisi tunapendwa kwa mapenzi ya dhati 😅😅 yaani tunazingua na pombe zetu ila ni ba mtu kwa mamsi wa ndoto zako😆. Kabla ya kutaka kwenda mbinguni ebu jifahamu kwanza kama unajitambua bwashee 🤔
  3. JamiiForums Tanzania In love memories for MO29 na kwa maisha yetu ya kila siku ya mapenzi nakuletea ngoma hii - USINIZOEE.

    Dont take the love you are given for granted. Ukipata muda na kama bundle yako inakuruhusu, basi pita hapa youtube kisha subscribe, like and hit the notification button kwa burudani zaidi. https://youtu.be/vCIqVwP57yI?si=GGpZYsLeQJjRumpt R.i.e.p wapendwa wetu waliotutoka october 29 2025
  4. K

    JamiiForums Tanzania Melodi Moja, Dunia Mbili: Jinsi Kilwa Jazz walivyogeuza Ukosoaji wa Jamii wa Franco kuwa Wimbo wa Mapenzi

    Wakuu, Katika historia ya muziki wa dansi barani Afrika, miaka ya 1960 ilikuwa ndiyo enzi ya mageuzi makubwa ya kiutamaduni na kiubunifu. Moja ya mifano hai ya ushirikiano wa kiasili na kiakili katika muziki ni uhusiano uliopo kati ya wimbo "Est-ce que oyebi?" uliorekodiwa na miamba wa rumba la...
  5. JamiiForums Tanzania Usaliti wa mapenzi si kitu cha kawaida

    Kuna wengine huja kusema eti, mwanaume ni kawaida, kupata radha tofauti..., Hapana ni maamuzi binafsi, mtu kama anakupenda kweli, hawezi kujikuta ametamani mwanamke mwingine. Ogopa sana mtu akuambie nilipitwa, trust me, huyo hana mapenzi ya kweli kwako. Mtu anayekupenda kweli atakujulia hali...
  6. JamiiForums Tanzania Ambaye ameshawahi kulanguliwa mapenzi na anyoshe mkono

    Ni hivi. mapenzi au ngono ni kitu ambacho kinapaswa kutolewa bure. Sisi binadamu kama wanyama wengine, tuna haki ya kufurahia matunda na mema ya nchi. Ni sawa, unapaswa kubembeleza na kushawishi, kwa sababu wanadamu tuna utashi na siyo kama jogoo ambaye anatembeza moto to kwa mtetea yoyote...
  7. JamiiForums Tanzania Shemeji Sehemu ya 1

    Ilikuwa mwaka 2006, Jason alioa mkoani Tabora, alikua anaishi na mke wake mjini Morogoro, Mke wake alikuwa anaitwa Anna, Waliishi pamoja kwa muda wa miaka mitano, na ndoa yao ilikuwa na furaha na iliyo onyesha mafanikio tele, walifanikiwa kupata watoto wawili. Kwa kipindi hicho Jason alijihisi...
  8. JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kwa ukamilifu kunaimarisha afya ya moyo, ngozi na akili.

    Na zaidi sana, kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu, huchochea amani moyoni na utulivu wa akilini kitu ambacho hupelekea ufanisi mkubwa katika kazi na majukumu mbalimbali ya kujitafutia kipato, kwa kua moyo na ubongo vina afya iliyoimarishwa baada ya kufanya mapenzi kwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je, kusamehe usaliti kwenye mahusiano ni ishara ya upendo au kukosa msimamo?

    Jamani jamani, eti kuna watu wanaamini kuwa ukimpenda mtu kwa dhati, unapaswa kuwa tayari kumsamehe hata akikusaliti. Wengine wanaona kuwa kumsamehe na kuendelea na uhusiano ni kujidharau. Sasa mimi najiuliza, kwani kusamehe kunamaanisha udhaifu? Au ni ishara ya ukomavu na uwezo wa kumpa mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

    Naona kabisa hapa ni kheri niachane na mapenzi.. Nitapoteza muda, na energy bure wakati umri umeshanitupa mkono. Sioni na sitambui kama kuna watu wakweli katika hii dunia iliyo chafuka Naona kabisa, ni kheri nifanye mchakato nizalishe mtu, nipate majukumu alafu maisha mengine yaendelee Mambo...
  11. JamiiForums Tanzania AMUUA MKEWE KWA SHOKA CHANZO WIVU WA MAPENZI

    Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Raphael Ulanga (66) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Clementina Luzuwa (57) kwa kumkata na shoka kichwani Oktoba 14, 2026, majira ya saa 4 usiku. Polisi wamesema uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi.
  12. JamiiForums Tanzania Raia 2 wa Bangladesh wanyongwa baada ya kukutwa wakifanya Mapenzi Msikitini Makka

    Raia wawili wa Bangladesh wamenyongwa kisha miili yao kusafirishwa mpaka nchini mwao baada ya kufanya kosa la kufanya mapenzi katika Msikiti huko Maka nchini Saudi Arabia 🇸🇦 ambapo ni kosa na kinyume na sheria za taifa hilo la Kiislam. Ubalozi wa Bangladesh nchini Saudi umedai kuwa hawakupewa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuteseka na mapenzi ukubwani? Sasa nimekamatika.

    Siku moja mtu mmoja aliniuliza kwanini Dr Reginald Mengi ameamua kuoa akiwa Mzee, yeye ni tajiri ni Kitu gani ktk mapenzi ya wanawake ambacho hajawahi kukipata au amekosa mpaka afanye uamuzi huo too late? Nilimjibu kama ambavyo Mgombea Urais ana miaka 65 nabado ana Ndoto za kuendelea kutusua...
  14. JamiiForums Tanzania Mapenzi yananifilisi

    Nimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani. Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye. Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye. Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea...
  15. JamiiForums Tanzania Sioni faida yoyote ya wamatumbi kuwa Katika mapenzi ya kudumu au ndoa

    Akili zetu wamatumbi hazina uwezo wa kuhimili misukosuko ya kimahusiano. Na wengi wenu mnaingia Katika mtego wa kamari hii ya kihisia Kwa mihemko na nyege za vipindi. Mapenzi na ndoa vimeguka chanzo kikuu cha misiba ,sonona na maumivu ya milele Kwa sisi wamatumbi weusi wa ngozi mpaka nyuchi...
  16. JamiiForums Tanzania Ukimaliza kufanya mapenzi usikimbilie kuoga.

    Natumai mko wazima wa afya tele. Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni. Nikamuuliza kwanin? Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha...
  17. JamiiForums Tanzania Nini huwa kinapelekea watu kuua au kujiua kutokana na mapenzi ?

    Mtu huwa anakuwa amefikia katika hali gani kiakili mpaka anaua au anajiua kwa sababu ya mapenzi ? 1. Ni kwamba anakuwa anaona hawezi kupata tena Mpenzi mwingine kama huyo? 2. Anakuwa ameingia gharama kubwa sana ya mali na fedha isiyoweza kurudishika ? 3. Anaona amedharailiwa kwa kiwango cha...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka u enjoy mapenzi tafuta mwanamke jobless au aliyejiajiri

    Unataka kuichapa utasikia nipo kazini , twende vacation kazi imebana , njoo unifulie nina uchovu wa kazi .
  19. JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
  20. JamiiForums Tanzania Nashauri mwezi Oktoba uwe mwezi wa likizo ya mapenzi

    Kutokana na matukio ya visa vya mauaji kushamiri mwezi huu wa OCTOBER naomba muswada wa dharura upelekwe bungeni kuliokoa taifa na mauaji ya walimbwende.Mwezi october nchi nzima watu wote waachane na shughuli za mapenzi kwa siku 30 mpaka november 1. Hii itasaidia kupunguza mikwamo ya kihisia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…