marekani

  1. Uamuzi wa ICC, Marekani yatoa angalizo kwa nchi yoyote rafiki itakayojaribu kuheshimu maamuzi ya ICC

    Baada ya mahakama ya ICC kutoa warrant ya kukamatwa Netanyahu kwa serikali yake kukiuka kanuni za vita, kama vile kuzuia kuingia kwa vyakula maeneo ya Gaza, Marekani imeweka wazi kuwa nchi yoyote rafiki wa Marekani, itakayojaribu kutekeleza amri ya mahakama ya ICC, Marekani itaiwekea vikwazo...
  2. Marekani ikimaliza Gaza na Lebanon, ni Waarabu gani watafuata kabla ya wengine?

    Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk? Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga...
  3. G

    Marais wa Marekani Biden na Trump wapo hatarini kukamatwa na ICC kwa kushirikiana na Netanyahu

    Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin. ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
  4. Waliojilipua na kuishi Marekani au wenye ndugu jiandaeni

    Kuanzia tarehe 20 January, 2025 waliojilipua na kuzamia Marekani au wenye ndugu zao huko wajiandae. Bosi mpya wa uhamiaji ameapa kuacha kiwewe na vilio kwa wengi. FUNGUA KIUNGO HIKI. --- What Trump 'border czar' Tom Homan has said he plans to do starting on Day 1 Last week, while appearing on...
  5. K

    Maulid Kitenge anafanya kazi gani ya maana, mpaka magazeti anasoma akiwa Italy au Marekani?

    Huyu jamaa anatoa Wapi pesa. Kwenye kipindi cha good morning cha Wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania. Utasikia yupoo USA, German, mara Italy, leo yupo Dubai. Wakuu huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka awe na pesa hivi?
  6. Njia nyepesi ama ngumu ya Urusi kumdhibiti Marekani

    Unaweza kuiita njia nyepesi ama ngumu kutokana na mtazamo wako ambayo Urusi yampasa au anaweza kuichukua ili kumdhibiti marekani dhidi ya hatua zake anazo chukua kupitia vita vya Ukraine katika kumdhibiti Urusi. Kwangu mimi Nathan mtazamo kwa tazama hatua ambazo Urusi alichukua kumdhibiti...
  7. Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  8. Marekani yatilia shaka mahusiano ya Urusi na Houthi

    Urusi inaweza kutoa msaada kwa Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran huku wakihatarisha njia kuu za meli. Afisa mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema Moscow inashirikiana na waasi katika "kiwango kikubwa." Afisa huyo aliiambia BI kwamba usaidizi wa Urusi ungekuwa "wasiwasi mkubwa...
  9. D

    Marekani yafunga Ubalozi wake Ukraine

    Kuna mtu katolewa chambo --- Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga. Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia...
  10. KWELI Mji wa Centralia, Marekani umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo

    Waungwana kuna ukweli gani hapa kuwa Kule Marekani kuna mji unaitwa Centralia, uko Pennsylvania. Mji huo umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, na inasemekana moto huo utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo.
  11. Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

    Wanaukumbi. Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote...
  12. X

    Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  13. U

    Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  14. L

    Marekani na Ulaya kumsikiliza Rais Samia akizungumza kwenye Mkutano wa G20 usiku huu

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa...
  15. Serikali ya Brazil na Marekani zilivyoficha Siri ujio wa Aliens

    Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil). Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO) kilomita 300 katika anga la mji wa Sao Paulo. Wakati jeshi la Brazil linaanza kuchukua hatua...
  16. Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  17. Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  18. Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?

    Wanabodi, Makala yangu Nipashe ya Jumapili. Bado niko Jijini Washington DC, nchini Marekani, kwenye haya na yale. Hii ni makala ya swali, hiki kilichotokea kwenye matokeo ya uchaguzi wa Marekani, kutomchagua mgombea mwanamke kwa sababu nyingine zozote, ila moja ya sababu hizo, inaweza kabisa...
  19. Pre GE2025 Makonda: Zuio la kusafiri Marekani lilikuja sababu ya kupinga masuala ya ushoga

    Wakuu, Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu. Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha...
  20. QUINCY JONES; Panyaroad Wa Chicago Aliyeitawala Dunia Kimuziki

    Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto. Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…