matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  2. S

    mtiririko wa matukio kitakacho tukea CHADEMA kulingana hali ya sasa

    1- mbowe atachukua form 2- Mbowe atashinda uwenyekiti 3-lissu atotoa tuhuma mbowe katoa rushwa 4- lissu atahamia ACT wazalendo 5-lissu atagombea urais kupitia Act wazalendo 2025 6- lissu ataambulia 8% ya kura manake atashindwa 7-Ataondoka kuelekea Belgium akimtuhumu mbowe anataka...
  3. Kwaheri 2024, Karibu 2025, Matukio katika picha. Mpaka sasa kataa ndoa hana goli, mpinzani wake anaongoza kwa goli 3

    Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ? Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza, nikaangalia tena, nikawaza. Jibu la haraka haraka likaja kwamba ndio champagne salute au inaiitwaje...
  4. Chadema inatumia stratejia ya "matukio" kujiweka kwenye ramani ya siasa...CCM imeshawashtukia!

    Kinachondelea ndani ya Chadema ni mbinu ya kukifanya chama chao kisemwe na kusikika katika jamii na nyanja za kisiasa. Hii ni mbinu iliyopitwa na muda yaani kutengeneza drama ili msikike na kutajwatajwa. Kamwe mbinu hii haitaondoa ukweli kwamba CCM imeshawashinda kwa kuchukua sehemu kubwa ya...
  5. ACT: SMZ Isimamie Sheria ya Ukatili na Unyanyasaji (Gender Based Violence) ili kuondosha matukio ya udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia

    SMZ IHAKIKISHE INASIMAMIA SHERIA YA UKATILI NA UNYANYASAJI (GENDER BASED VIOLENCE) Ndugu wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru, Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia hali ya uzima wa afya, lakini pia niwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu wakuja katika mkutano huu leo...
  6. N

    Habari zilizotrend kwa mwaka 2024

    10. Kifo cha mtoto albino mkoani Kagera 9.Kutekwa kwa Sativa 8. Msigwa kuhamia ccm 7. Makonda kurudi kwenye mfumo 6. Kifo cha mzee Mwinyi 5. Yanga kuifunga Simba mara 4 mfululizo. 4. Kifo cha mzee Kibao 3. DP world kuanza operation Tanzania 2...
  7. LGE2024 ANGALIZO: Yamepangwa matukio kutuondoa tusijadili UBAKAJI wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea na kupinga uhuni mkubwa na ovu dhidi ya chaguzi zilizofanyika. Tusitoke relini wakuu Tuendelee...
  8. Izzo Bizness: Matukio ya Vifo na kutekwa na kupotea nchini, hali imekuwa ya kutisha zaidi

    Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko la matukio ya kutoweka kwa watu nchini, huku akisema kuwa hali hiyo...
  9. N

    Orodha halisi ya nchi 90 zinazoongoza kwa matukio ya utekaji nyara, kuumizwa, na mauaji kulingana na data mbalimbali za kimataifa za uhalifu

    Kulingana na RIPOTI KUTOKA OFFICE OF HIGH COMMISSIONER FOR HUMAN RIGHTS (OHCHR)ambayo ni ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kukuza na kulinda haki za binadamu duniani ikiwa inasimamia utekelezaji wa mkataba wa kimataifa wa haki za binadamu na na kusaidia nchi wanachama katika kuimarisha...
  10. Jeshi la Polisi: Tumewaokoa Watoto wa Kike 184 waliokuwa wameandaliwa kufanyiwa ukatili wa kukeketwa

    Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda Maalum ya Kipolisi Tarime Rorya ambapo Jumla ya watoto 184 waliofanyiwa vitendo vya ukatili wameokolewa...
  11. LGE2024 Amos Makalla: Tunakemea na kulaani matukio ya mauaji yaliyotokea kwa vyama vyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema: Tunakemea na kulaani matukio ya mauaji yaliyotokea kwa vyama vyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na mimi niungane na viongozi wa dini kukemea matukio haya...
  12. LGE2024 CHADEMA watoa Orodha ya Matukio yanayoendelea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    TAARIFA KWA UMMA Matukio mbalimbali ambayo yametolewa taarifa mpaka muda huu wa saa nne kamili asubuhi, leo tarehe 27 Novemba, 2024 siku ya kupiga kura, uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mauaji Tumepokea taarifa za viongozi wetu kuuwawa usiku wa kuamkia leo kama ifuatavyo: 1. Jimbo la Manyoni...
  13. LGE2024 Kigoma: Afande akirekodi matukio kwenye Kampeni za ACT Wazalendo, Mkutano wa Zitto Kabwe

    Wakuu Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la...
  14. Ilikuwa ni huzuni matukio ya kuaga miili Mnazi Mmoja, asanteni watanzania na viongozi wote . Poleni wafiwa .

    Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha simanzi kubwa , ajali hii ni funzo kubwa na haiwezi kusahaulika. Binafsi, nilifika kuwaaga ndugu...
  15. Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

    Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
  16. Umuhimu wa Teknolojia za Kisasa katika uokoaji: Funzo kutoka Matukio Halisi

    Utangulizi Majanga kama kuanguka kwa majengo, matetemeko ya ardhi, na moto yameendelea kuhatarisha maisha ya watu duniani kote. Katika nyakati kama hizi, uwepo wa teknolojia za kisasa unaweza kuwa tofauti kati ya kuokoa maisha na kupoteza maisha. Hata hivyo, hali inasikitisha kuona baadhi ya...
  17. Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  18. Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
  19. Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  20. Jaribio la Utekaji wa Deogratius Tarimo: LHRC yahimiza uchunguzi wa haraka, jamii kutimiza wajibu wa kulinda uhai kila mtu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…