mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini mtaani kuna dhana mbaya kuhusu ndugu?

    Utasikia; 1. Usikae na ndugu yako ni shida 2. Usiajiri ndugu utakuja kulia 3. Ndugu ni wa kukaa nao mbali na nyingine nyingi Nafikiri umoja kwa familia na undugu wa damu ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii zetu. Tusitegemee kupata maendeleo kama taifa endapo jamii hasa ndugu hawawezi...
  2. A

    DOKEZO Hali ni mbaya sana Shule ya Msingi Kitanda - Mbinga TC

    Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya wilaya ya Mbinga. Shule hii inakadiriwa kuwa na wanafunzi 700+ na walimu wasiopungua 8 lakini...
  3. Tigo huu ni wizi mbaya sana mnafanya.

    Nimeangalia huduma ya taarifa fupi ya miamala. Mmeleta msg kuwa huduma haipatikani kwa sasa sababu ya mtandao. Lakini mmekata Tsh 50 ya huduma. Huu kama siuo wizi ni kitu gani?
  4. Mtwara: Mganga Mfawidhi asimamishwa kazi kwa kuwaambia Wagonjwa yeye ana Roho Mbaya kuliko wanavyofikiri

    https://www.instagram.com/reel/C1rIUPsi23K/?igsh=ZWI2YzEzYmMxYg%3D%3D Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Abeid Abeid Kafunda, amemsimamisha kazi Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mkwajuni Isabella Renatus kutokana na madai ya kutokuwa na kauli nzuri kwa Wagonjwa huku akijisifu kuwa ana...
  5. T

    Stendi ya Mabasi Sengerema ina hali mbaya, Halmashauri haioni?

    Moja kwa moja kwenye mada. Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo. Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
  6. E

    TITUS AMIGU: NI MTEGO MBAYA SANA

    Kutoka kwa Pd. Titus Amigu: NI MTEGO MBAYA MNO Katika suala la baraka mgogoro ni kwamba mashoga na wasagaji ni WANAHARAKATI (ACTIVISTS). Ndiyo maana watakuja kanisani kuomba baraka wakijitambulisha. Wanapigania kutambuliwa kisheria, kijamii na kikanisa (kidini). Kwao kuwapa baraka maana yake...
  7. Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR.
  8. S

    Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

    Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua. Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi. Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
  9. Tujifunze kuongea mazuri ya Watu tuache unafiki, chuki na roho mbaya

    Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana. Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila...
  10. Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

    Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe. Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
  11. HAMAS waiba chakula cha misaada, njaa mbaya jamaa wanateseka kwenye mahandaki

    Dunia inapiga makelele kwamba watoto wanakuafa kwa njaa, ila kidogo kinachoachiwa kipite yaani HAMAS wanakivizia na kupeleka kwenye mahandaki..... https://www.timesofisrael.com/liveblog-december-17-2023/
  12. Uchumi wa Iran hali mbaya, wabunge wapiga chini bajeti kwa ilivyo na mapungufu mengi

    Wametoa sababu nyingi ikiwemo bajeti kupunguza utegemezi wa mafuta na kuhamia kwenye kuongeza kutegemea kodi ambayo yenyewe imewakaba wananchi kwenye koo, pia wastaafu wametupwa mbali, bajeti haina mpango nao, yaani matatizo lukuki. Nahisi ndio maana Iran imejinyamazia huku Gaza ikifanywa...
  13. Usishindwe Kufurahia Maisha yako kwa sababu ya historia au mambo yako ya nyuma

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Taikon kama Mchunguzi huru, na ambaye ninajihusisha na watu wote, nilikuja kugundua kuwa moja ya mambo yanayowafanya Watu wengi kushindwa kufurahia maisha yao ni pamoja na kuendekeza PAST na BACKGROUND zao. Basi hivi leo, ikiwa wewe ni mmoja wa Watu wa aina...
  14. Hali ya chemba za majitaka Kariakoo ni mbaya, Utapishaji Vyoo unafanyika kiholela

    Nimepita Kariakoo leo kwakweli hali ya Miundombinu zikiwemo Barabara za Mitaa na Chemba za Majitaka ni mbaya inatia kinyaa na Mamlaka zinaendelea kukusanya Kodi pale kama hazioni. Mbaya zaidi Chemba zimepasuka katika maeneo ambayo watu wanalazimika kutembea kwenye uchafu unaotoka katika mitaro...
  15. S

    Wananchi jimboni kwa Mwigulu wapaza sauti kuomba msaada wa barabara

    Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua. Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti...
  16. Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

    Najiandaa kusoma Comments zenu.
  17. IDF imewapiga risasi mateka 3 na kuwauwa huko Gaza, wanasema bahati mbaya.

    Wanaukumbi. Hagari anasema IDF inawajibika kwa "tukio hilo la kusikitisha." "Hili ni eneo ambalo wanajeshi walikumbana na magaidi wengi, wakiwemo washambuliaji wa kujitoa mhanga," anaongeza. Hagari anawataja mateka hao kuwa ni Yotam Haim, ambaye alitekwa nyara na Hamas kutoka Kfar Aza, na...
  18. Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

    Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010. Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling...
  19. Israel ikikubali kuuliwa askari 10 leo ujue hali imekuwa mbaya kwao

    Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote. Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
  20. Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

    Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho. Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…