mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tuwe na adabu Kwa Jakaya, yaani wewe kijana wa misungwi , mbinga, kibondo unajua mipango ya nchi kuliko jakaya hadi umzodoe?

    Ifike hatua tuwe na adabu, Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali, Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi...
  2. Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?

    Kwema Wakulungwa. Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani? Mimi Miaka 87.
  3. Vipi mipango ya Jerry Silaa ndio imeisha

    Itakumbukwa ni mwezi tu umepita bajet ya wizara ya ardhi chini ya Jery Silaa imepitishwa na baada kupitia jamaa a alianza na gia kali ya kuzunguka nch nzima kurudisha ardh iliyo ibiwa na matapeli wa ardhi walio tapakaaa nchi nzima Nimeamin matapeli wakikuamulia wanaweza kukutoa kweny nafsi...
  4. Jinsi ya kuongeza umakini (mawazo) katika mipango ya maisha

    Wasalaam ndugu zangu waswahili, Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately. Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha?? Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu...
  5. Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  6. S

    SoC04 Tanzania kwenye G20 2050

    Tunahusiana jamii ya watanzania wenye bahati ya vitu vingi ikiwa ni pamoja na kuwa na hamu ya serikali zenye usikivu hawamu zake zote, Kuna sehemu tumekosea tokea Uhuru hasa katika swala la kuwa na mahamuzi ya haraka kwenye fursa tulizo nazo. Hatuna tena sababu ya kusingizia ukoloni kama sababu...
  7. L

    Prof.Kitila Mkumbo atabadilisha sana mipango ya nchi hii, msikilizeni TBC akieleza mipango ya nchi

    Nasikia burudani sana jinsi msomi huyu anavyowasilisha hoja mbalimbali za mipango ya wizara yake. Nna uhakika mkubwa sana nchi inakwenda kubadilika kutokana na mipango mizuri iliyowekwa na serikali ikitokana na ubunifu wake mkubwa. Amejikita sana kwenye kuinua uchumi hasa maeneo ya kilimo...
  8. Kama una mipango ya kununua subwoofer basi usithubutu kununua hii subwoofer.

    From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya miezi miwili ilianza kujizima ukiwasha unasikiliza hazipiti hata dk 2 inazima Ikabidi nirudishe dukani...
  9. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mipango Ya Kipekee Ya Kuboresha Elimu

    Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vizazi vijavyo kwa mafanikio na ustawi wa taifa. Hapa, tunaangazia mawazo bunifu yanayoweza kutekelezwa katika kipindi cha miaka 5-25 ijayo, kwa kuzingatia mifano dhahiri ya nchi zilizofanikiwa...
  10. L

    Simba yangu msikose kuwasajili Kelvin Nashon na Kevin Kijiri kwenye mipango yenu ya usajili, wako vzr sana vijana hao

    Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo. Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
  11. Huyu ndiye Naibu Waziri wa Mipango na uwekezaji!

    Je huyu ataaminika na wawekezaji? PIA SOMA - Breaking News: - Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
  12. Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

    Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
  13. Pre GE2025 Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
  14. K

    SoC04 Kuendeleza Tanzania kufikia maono ya kibunifu katika miaka ijayo inahitaji mkakati thabiti na mipango madhubuti katika nyanja mbalimbali

    Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha programu za ufundishaji wa stadi za kidijitali ili kuandaa wanafunzi kwa ajira za baadaye. 4. Miaka 25...
  15. Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

    Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Nani anayefuatia kushika kiti chake kwa mujibu wa itifaki ya ufalme wa Uiengereza. King Charles’ health ‘not good,’ funeral planning underway: Report
  16. Hivi ndivyo Marekani inavyojimaliza yenyewe,na haizuiliki kwani si mipango yake tena

    Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia. Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa na malengo mapana ya kuzipindua na kuzitawala nchi kadhaa na nyingi zao ni za waislamu. Hakuna hata...
  17. Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel. Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu...
  18. Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7, Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18 Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash niliyoishika na umri wangu huh wa zaidi ya miaka 25 ilikuwa ni laki nne na sabini ambayo niliikusanya kwa...
  19. Wazee wa mipango nipo juu ya mawe, sielewi nishukie wapi

    Wasalaaaam waungwanaaa, nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Hivi sisi wazee wa mitungi ni vipiii? Wazee kama nilivyosema hapa niko juu ya mawe sielewi. Hii ni baada ya kupiga mtungi heavy jana. Sasa leo nimejikuta nimeamka na elf kumi na tano tu, naona hamjanielewa, yaani 15,000/= tu...
  20. Suala la mipango miji ndo imetushinda kabisa waafrika.

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…