mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maisha yenyewe mafupi mke mrefu wanini?🤣🤣😂🤣

    Maisha yenyewe mafupi mke mrefu wanini? 🤣🤣😂🤣
  2. JamiiForums Tanzania Kwa sisi tuliosoma Haifa tunasema ile press ya Lema ilikuwa ni gear na clutch ya talaka ya ndoa ya miaka mingi. Huko mbeleni atamtambulisha mke mpya

    Nafikiri ngara23 Nyani Ngabu na Mshana Jr wamenielewa
  3. JamiiForums Tanzania Jumapili njema; kataa ndoa nakutakia baraka za mke sahihi ili ufurahie maisha ukiwa na mwenzie mpya

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Jumapili ya leo ni sikukuu ya watakatifu wote katika kanisa, tunasherekea upendo wa MUNGU BABA kwa matendo yake makuu na ya ajabu ya kumtoa mwanae wa pekee ili atukumboe Basi atukuzwe MUNGU mbinguni na atakatifuzwe mwanadamu ili siku moja...
  4. JamiiForums Tanzania MaKanisa ya kilokole si sehemu sahihi ya kupata mke

    Yes,wengi wanajidanganya. Kijana,ukifikia umri kwamba saa unataka kutulia uwe na familia,basi usifikiria kanisani kama sehemu sahihi ya kupata mke mwema na mwenye historia iliyo nyoka hususani kwa haya makanisa ya kilokole. Wanawake wengi baada yakutumik sana,na kufanya kila aina ya ushenzi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iwapo Mwanaume umetulia kwenye Ndoa halafu mke akatoka nje, hilo kosa linauma sana kwa Mwanaume

    Anasema kumsamehe Mwanamke anaposaliti kwake ni ngumu sana hasa pale ambapo anapokuwa hatoki nje ya ndoa kabisa, hilo ndio kosa ambalo linaumiza zaidi kibidamu, na ni ngumu sana kumsamehe labda kwa uwezo wa Mungu.
  6. JamiiForums Tanzania Chawa mmoja aligundua boss anaruka na mke wake, ila hakufanya chochote maana alipiga mahesabu kuwa yeye mwenyewe ni mvivu na upambe ndio ugali wake

    Kwa heshima na taadhima ya JF haipaswi kutaja watu humu Ila uchawa ni choice. Na vitu unavyopaswa kuvifanya ili udumu katika fani ya uchawa ni KUPIGA CHINI UTASHI WAKO, KUPIGA CHINI UTU WAKO NA KUKUBALI KUWA MTUMWA.
  7. JamiiForums Tanzania Mke na mume wakiachana hugawana mali zote! Je madeni ya mume yanaruhusiwa kugawanywa ?

    Hili ni swali kwa wana JF wote! Mume na mke wakiowana ikitokea wameachana mali hugawanywa sawa kwa mke na mume, swali je kama madeni yalihusika ktk utengenezaji mali yanaruhusiwa kugawanywa kwa mke na mume pia? Naomba nielimishwe
  8. JamiiForums Tanzania Ukigombana na mke au mpenzi wako. Kisha wewe ukaamua kuumaliza ugomvi vipi huwa unafanikiwa?

    Iko hivi kuna wakati ukitokea ugomvi mimi na mke wangu haijalishi ni mm nimekosa au yeye kakosea ila nikisema ninchukie au nisimsemeshe hata wiki yeye naona wala hajali japo anateseka moyoni. Ila nikisema niumalize ugomvi siku hiyo hiyo au hata tumegombana usiku kisha nikasema nataka tupatane...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Kaini alitoka wapi??

    https://youtu.be/vX8Ve6Qcf1I?si=xWkNgprM7Eb-1Bj3
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa kisa mke ana maji mengi

    Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao. Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba...
  12. JamiiForums Tanzania Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa

    Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa. Moods futen na hii mana Ile ya kuwasha feni wakat wa kuchota maji Kwenye kisima mmefuta lalek
  13. N

    JamiiForums Tanzania Amri ya Mungu inasema usitamani mke asie wako, haitaji mume

    Amri za Mungu zipo kumi. Mojawapo inasema usitamani mke asie wako...maana yake ni chukizo mbele za Mungu. Hata Daud mtumishi wa Mungu alipomtamani mke wa Uria ( I stand to be corrected) na kumpeleka mumewe mstari wa mbele ili afe amlale mkewe kwa nafas, Mungu alichukia sana. Lakini hakuna...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kukutana na mwanamke aliye kwenye ndoa ambaye alionyesha wazi kuwa ananitaka kimapenzi

    Wakuu habari ya jumapili? Nimewahi kukutana na mwanamke aliye kwenye ndoa ambaye alionyesha wazi kuwa ananitaka kimapenzi. Hadi ilifika hatua ya kuingia getoni kwangu, lakini niliamua kumkataa. Mpaka najiuliza mwanamke ameolewa ila haridhiki
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa kuoa

    Hbari za majukumu ndugu, Maisha yanabadilika kila kukicha na kukaa kimia bila kushirikisha walimwengu jambo lakohuku unasumbuka ni uzembe, Mimi naombamsaada kwa mtu yoyote mwenye ndugu, jamaa au rafiki anayemwamini kuwa ana faa kuwa mke anisaidie kunikutanisha naye, hata kamanimwanachamawa...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 30 bila mke imekuwa kitu cha kawaida sana

    Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao. Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili. Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amenibadilikia, anataka talaka (ushauri)....... (Na ushauri wa mdau)

    Habari hii nimeitoa fb, huyu jamaa anatafuta ushauri, ila ushauri wa "Simon" kama utakavyo usoma hapo chini, haukuwa wa KISTAARABU kwa uelewa wangu na kwa utu wangu mimi! Hebu na wewe naomba soma hiyo stori umshauri mhusika na bila kumsahau na "Simon" pia ashauriwe. Niwe muwazi tu mimi...
  18. JamiiForums Tanzania Muonekano wa sura ya mke wa CEO wa kampuni ya Dell yazua gumzo Marekani

    CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

    Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda Hallelujah Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu, Nimekuchoka!

    Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo. Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia. Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…