FEMALE RAPPER SISTER P ALBUM..MAREKEBISHO.
SISTER P .
Kasi tulikuwa nayo sisi enzi zile, sasa hivi hakuna anayekuja kwa kasi, huyu (Chemical) anajitahidi kasi sio mchezo bado mapengo yetu yapo makubwa sana sasa hivi fake wengi sana, umarekani mwingi mbwembwe mpaka wanaharibu,β alisema...