Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni...