Habari wana JF,
Naomba ushauri wenu, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia changamoto zinazofanana au wenye uzoefu wa maisha ya ndoa na familia.
Ninaishi na mwanamke ambaye tumebahatika kupata mtoto pamoja. Mtoto wetu amezaliwa hivi karibuni. Hata hivyo, kwa sasa familia yangu ipo kwenye...