mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoto wa kiume jikaze, acha kulegea, mtoto wa kiume halii! Tusipobadilika tutawapoteza!

    Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
  2. Siku niliyokutana na mtoto wa Kinyarwanda

    Wakuu, mjuavyo tena; mahusiano ndio yanayofanya dunia iwe sehemu sahihi na tulivu kwa kuishi. Mjuavyo tena, sisi tunaopataga maji ya 'gold' huwa ni vigumu kunyimana kwenye mahusiano. Kama pisi kali ikikuelewa, inakuelewa kweli. Ndio maana waswahili wanasema, kwenye kinywaji cha rangi ya 'gold'...
  3. Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako. Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni. Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi. Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia...
  4. Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
  5. Huyu ndio muigizaji aliyepata mtoto akiwa na miaka 80

    Mwigizaji na mtayarishaji wa Movies kutokea nchini Marekani, Mzee Robert De Niro amepata mtoto wake mwengine akiwa na miaka 80. Robert De Niro akiwa na umri wa miaka 80 na mtoto wake wa miezi 10 Alipata mtoto wake wa kwanza zaidi ya miaka 46 iliyopita. ✍️ Mjanja M1
  6. Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    Habarini za usiku wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji msaada wa Mawazo chanya iko hivi kuna mwanamke nilipata naye mtoto lakini kwa bahati mbaya sana tukaja kutengana na sasa kila mtu anaishi kivyake yeye yupo na mtoto. Kuna wakati mzazi mwenzangu anapata hasira za...
  7. Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Habari. Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable. Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda...
  8. Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  9. Mtoto ajinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku

    Inasikitisha sanaa Naangalia taarifa ya Habari ITV mtoto wa darasa la pili amejinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku Baba mzazi alipoulizwa alikiri n kwelli ye na mzazi mwenzie walikuwa na tofauti na baadae mkewe akamua kuondoka siku 5 zilizopita Jana anarudi anakuta watu wanejaa...
  10. M

    Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Habari wadau. Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6. Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi...
  11. Mazishi ya mtoto anayedaiwa kuuliwa kwa kuchapwa na mwalimu yaahirishwa. Mwili wake unaendelea kufanyiwa uchunguzi

    Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika. Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
  12. "AIM LOW ENOUGH": Njia ya kusaidia kukuza ujuzi wa mtoto mwenye uwezo mdogo

    Tunapush sana watoto katika level ambayo sio uwezo wao. Kinachofatia ni mtoto kuwa muoga zaidi wa kuthubutu na kukuogopa wewe bila kukuheshima. Tambua uwezo wa mtoto wako alafu mwekee challenge ya chini ambayo unayojua akitumia uwezo kidogo wa ziada atashinda tu. Hii itamfariji mtoto ila pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…