Chanzo cha picha,Getty Images
Marekani imeidhinisha uuzaji wa makombora 500 aina ya Patriot kwa Ukraine, ambazo ni silaha muhimu za kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ya Urusi.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, ameonya kuwa huenda ikachukua "miaka kadhaa" kabla ya makombora hayo kufika...