muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

    Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
  2. JamiiForums Tanzania Mbosso ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye album bora za muda wote kwenye bongofleva

    Album 5 bora za muda wote ni 1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay 2. Aka Mimi - Mangwea 3. A boy from Tandale - Diamond 4. Binti - Lady Jaydee 5. Room Number 3 - Mbosso Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama. Hongera...
  3. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

    NRNE Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina. Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo...
  4. JamiiForums Tanzania Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

    Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao. Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote! Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwakumbuka wale waliotangulia mbele ya haki pamoja na mambers ambao hawajaonekana jukwaani kwa muda mrefu.

    Kuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani. Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku. Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume, Usipoteze muda kurekebisha sahani ambayo hujaivunja wewe..

    Wanaume, Usipoteze muda kurekebisha sahani ambayo hujaivunja wewe..
  7. U

    JamiiForums Tanzania Maelfu wahudhuria Mazishi ya majenerali wa Iran waliouawa na Israel kwenye mapambano ya siku 12

    Thousands line streets to mourn Iranian generals, nuclear scientists killed during war with Israel By AP Today, 8:34 am Mourners gather in Enghelab Square to attend the funeral ceremony of the Iranian army generals, nuclear scientists and their family members who were killed in Israeli strikes...
  8. JamiiForums Tanzania Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna muda usiteseke kuna vitu unaweza kuhama au kuachana navyo tuu

    Kuna muda usiutese moyo kitu kama dini sijui kabila au team unaweza kuhama na maisha yakaendelea poa tuu Ni ushauri tuu Muwe na jioni njema
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya malalamiko ya muda mrefu, Barabara ya Kivule yaanza kurekebishwa

    Njia ya Kivule kwenda Banana ambayo ilikuwa kero nimeona imeanza kukarabatiwa, kwa kipindi cha wiki nzima naona mkandarasi yupo site jambo ambalo kidogo limenipa faraja. Hii barabara kwa muda mrefu imekuwa ikitupa tabu sana wananchi hasa wakazi wa maeneno ya Banana hadi Kivule, ilikuwa haifai...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 22 iliopita JD alitoa wimbo wa wanaume kama mabinti, wimbo ulikuwa controversial kidogo, lakini kumbe alicheza na muda na leo umekuwa relevant.

    ⚠️Vijana wa kiume wanatengeneza group chats kuwasema na kusengenya wanaume wenzao ⚠️Vijana wa kiume wana ng'anga'nia kujumuika na wanawake katika party zilizo undwa kwa ajili ya wanawake pekee. ⚠️Zamani ilikuwa unasikia sikia tu fununu kwamba flani ni shoga ila leo unawahesabu kwa maana...
  13. JamiiForums Tanzania TRUMP Atangaza kusimamishwa kwa muda wa saa 12 vita Israel na Iran. - Baada ya Masaa sita yajayo war will stop

    Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This is a War that could have gone on for years, and destroyed the entire Middle East, but it didn’t...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

  15. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kuthibitishwa Kazini?

    Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante.
  16. JamiiForums Tanzania Ulikuwa hujui kwa nini mchungaji wako ana bonge la leso, muda wote anajifuta futa madhabahuni? Ni leso za kishirikina, sikiliza ushuhuda huu!

    Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa mama unanukia; muda wa kupata uteuzi na utenguzu huu hapa. Je utakumbukwa? Wangapi kuondoshwa?

    Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge. Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza wanaotaka kugombea wamng'ate sikio mapema apeleke wengine. Je, wakuu wa mikoa wangapi wamechoka kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Haihitaji Degree kutambua anachofanyiwa Lissu ni kutokana na 'No reforms, No election' Watanzania wangekuwa na akili wangekuwa barabarani muda huu

    Tunaposema Tanzania ni taifa mfu, au Taifa lenye wajinga wengi mno ambao CCM inatumia kama mtaji nadhani sote tunajionea na kushuhudia. Watu kadha wa kadha wametekwa, wamepotea, hakuna aliyewajibika. Si Polisi ambao walionekana mchana kweupe wakimbeba marehemu kwenye basi lenye abiria wala si...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030. Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
  20. JamiiForums Tanzania JAB: Hakuna muda wa nyongeza usajili waandishi

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imesema haitatoa muda wa nyongeza kwa waandishi wa habari kujisajili,na kwamba kufanya kazi za kihabari bila usajili ni kosa kisheria. Kaul hii imebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JAB, Patrick Kipangula, ambapo amesema kuwa baada ya muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…