mwanamke

  1. Developing Story: Magomeni, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga na Kuua Mwanamke. Gari yadakwa, Dereva Asepeshwa na Polisi!

    Wanabodi This is a developing story Yaani story muendelezo Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo...
  2. Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

    Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka. Chanzo: mwanaspoti_tz
  3. Hakuna mantiki yoyote itakayojibu swali la mwanamke la "Kwanini wanaume wanapenda kucheat sana?". Maelezo haya yanaweza kurelate na swali lao

    Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat. Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat. Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
  4. Mwanaume; tambua dhamani ya pesa yako, usi mnyenyekee mwanamke

    Wakuu. kuna watu wanatafuta pesa kwa shida sana kwenye kuitafuta. ila inapo kuja kwenye kupata faraja jion au akirud kwa yule ampendae pia ana ambulia zarau, kejeli na kero mbali mbali, u Kwa matabaka yote ya kiuchumi Kwa wenye maisha mazuri mwenye uwezo wa kumpangishia mwanamke nyumba, chumba...
  5. Mwanamke wa Iran avua nguo zote baada ya kughasiwa kuwa amevaa vibaya hijab

    Iranian woman strips clothes in protest after being assaulted for improperly wearing hijab - report University officials claimed that the woman was suffering from "severe mental pressure and had a mental disorder."...
  6. Ukitaka ku enjoy maisha ya ndoa, is mwanamke aliyelelewa kwenye misingi ya kiislamu

    Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu. Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya dini ya kiislamu utaenjoy sana maisha ya ndoa. Wengi wao wana utii kwa wanaume wao, wana stara, n...
  7. G

    Mwanaume, acha kujitetea sana kwa mchumba/mke. Watoto uliozaa na wanawake wengine kabla yake usimwambie

    Mwanaume kazi yake ni kuzalisha (kutoa mbegu). Hata ukiwa umegawa mbegu kwa wanawake 10 tofauti wewe kaa kimya tu. Usianze kumfungulia codes zote huyo mwanamke unayetaka kuishi ama unayeishi naye. Acha awajue watoto anaowazaa yeye tu, wengine hawamuhusu. Hata kipato chako usimwambie, ili upate...
  8. Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

    Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
  9. Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi,

    Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi, Kutoka kwenye unyanyaswa kijisia, kuwa mwizi, kuingia jela na hadi kuwa mbunge kutetea wanawake nchini india. Anakumbukwa kwa famous qoute inayosema. "If there were justice in the world, I would have been a nobody" Na hii ndio...
  10. Hongera Evelyn salt Kwa kuwa Miss JF2024: Mwanamke mwenye mvuto na ushawishi JF 2024

    Habari Wakuu! Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea. Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke. Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka...
  11. Mwanamke aliyekatwa Mkono akiamua ugomvi Uchunguzi wakwama, Polisi wadai Bajeti imekosekana

    Mwanamke aitwaye Nancy Simon, Balozi wa mtaa wa Olekeriani, kata ya Olasiti jijini Arusha, ambaye alikatwa mkono akijaribu kumuokoa mwanamke aliyekuwa akishambuliwa na mume wake, ameeleza kuwa uchunguzi wa kesi yake umegonga mwamba. Askari mpelelezi wa tukio hilo amesema kuwa kesi hiyo haiwezi...
  12. Siku hizi mwanamke kwenye gari na iphone hachomoki

    Sijui ni umaskini, ujinga, laana, au ni tamaa mbaya. Ijapokuwa sio wanawake wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake (wengine ni Wake za watu) hawawezi kuwakataa kimapenzi wanaume wafuatao; 1. MWANAUME MWENYE GARI - Sikuhizi ni ngumu sana mwanamke kumkataa mwanaume mwenye gari, hata kama...
  13. Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

    Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi? Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi...
  14. Afrika ina Rais mmoja tuu Mwanamke, Samia Suluhu Hassan

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya marais wa kike duniani, wasifu wao, na bara wanakotokea. Muhimu ni kunote kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye rais pekee wa kike barani Afrika kwa sasa. 1. Samia Suluhu Hassan - Tanzania (Afrika) • Wasifu: Samia Suluhu alizaliwa mwaka 1960 Zanzibar, Tanzania...
  15. Gari dogo la kukodi mkoani Kagera na mwanamke wa kupiga naye story za kimkakati

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu ,salamu haikuongezei thamani . Mwenzenu nipo mkoani Kagera specifically katika mji wa Bukoba mjini ,popote mlipo mnaojua mnakodisha magari madogo kwaajili ya kufanya michakato yangu ,tafadhali naomba mnitafute PM ,kwa kuandika namba yenu Kama kichwa Cha...
  16. Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
  17. F

    Kutongoza mwanamke

    Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
  18. Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

    Case studies zipo nyingi Sana Sina haja ya kurudia. Uzi tayari.
  19. UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na tamaduni mbalimbali, inazidi kujiandaa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Moja ya malengo makuu ni kuwezesha wanawake kushika nafasi za juu katika uongozi, hususan katika nafasi ya Sheheh Mkuu. Hili ni jambo ambalo limekuwa likijadiliwa...
  20. T

    Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

    Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake. Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…