mwezi

  1. Kuna mtu anaweza kunipa maelezo mepesi kwanini mwezi unaonekana nusu wakati mwingine kamili

    Aisee niwe tu mkweli sijui kuna masomo yalinipita au sikuyaelewa tu vizuri yaani Mpaka sasa hv nimeshindwa kuelewa kwanini shape ya mwezi inabadilika badilika kuna kipindi unauona nusu wakati mwingine robo wakati mwingine kamili. Ninachokijua jua ni kwamba mwezi kama Dunia tu una usiku na...
  2. Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

    Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
  3. TASAF ya Tsh 24,000 kwa mwezi ni utani

    Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June. TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa. TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
  4. Marekani yakwama kupata sampuli za Mwezi kutokana na Kifungu cha Wolf

    Hivi karibuni Chombo cha Chang'e No. 6 cha China kilifanikiwa kumaliza kazi yake ya kuchunguza Mwezi na kurejea duniani, na kuleta sampuli ya kwanza duniani ya udongo na mawe kutoka kwenye upande wa mbali wa Mwezi. Baada ya China kutangaza kuwa itashirikiana na jamii ya kimataifa kutafiti...
  5. Bado siku 26 tupate Mshahara wa mwezi july,maana mashahara WA June umeenda haraka sio Poa na kitaa Hali si hali

    Wakuu Mbona Mshahara wa mwezi June umeenda haraka hivi? Mpaka Sasa balance inasoma zero Wakuu na kitaa kigumu Sana na majukumu yamenizidia sijui nifanyeje sijui hapa kama Kuna mdau Wowote anaweza kunikopesha halafu zile tarehe zetu zikifika tutamalizana tu Wakuu Nakuambia mshahara ulipoingia...
  6. D

    Migomo Kariakoo: Serikali kuendelea kulea utamaduni wa kulinda wahalifu utakutokea puani

    Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine. Migomo yote ni wafanyabiashara kukataa maelekezo halali ya serikali ikiwa pamoja na kutotaka mfumo wa wazi unaobana wizi na...
  7. Watumishi wa umma wale wa madaraja sikilizeni hapa mpaka mwisho

    Majibu ndio hayo msisononeke
  8. Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

    Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. UPDATES: Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
  9. Penzi letu na mpenzi limevuja tena ndio bye bye limeishaa! Almost 4 years ila sio riziki isee!

    Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa! Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae! Dah....!
  10. Netanyahu alia na Marekani kuhusu msaada wa silaha. Miezi minne sasa imepita msaada hakuna

    Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF. Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua...
  11. I

    Mtoto mwezi mmoja kukosa choo

    Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
  12. H

    Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

    Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi. Lakini pesa hii haikai kabisa, yaani hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shingapi kama pesa ya chakula. Msaada please Pia Soma: Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?
  13. Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  14. Jerry Silaa kuwe na utaratibu wa kusikilliza Wananchi kila mwezi mara 2 Mpaka 3 kuna mikasa ya aibu ya dhuluma za ardhi wanakimbilia mahakamani

    Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara...
  15. Nigeria: MultiChoice yapigwa faini na kutakiwa kurusha Matangazo kwa Wateja mwezi mmoja bila malipo

    Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo. Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
  16. Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

    Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
  17. Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

    Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : ◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️ ◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6) ◎ Feisal Salum - ⚽ (5) Pia bodi imetangaza kuwa, kocha...
  18. Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

    Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
  19. Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

    Nilienda Mtwara around January nikakaa kama wiki moja hivi. Nimenogewa nataka likizo yangu ya mwezi wa sita niitumie Mtwara. Mliowahi kuwa Mtwara ndani ya likizo ya mwezi wa sita nipeni uzoefu tafadhali. Vibe lake huwa linakuwaje kuwaje mtaani? Jinsia pendwa wa Mtwara chukueni maua yenu. Yani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…