Habari za humu JF
Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu...