Mara Ninaporudi nyumbani nilipozaliwa huwa namuota sana marehemu mama yangu π€
Kwa namna anavyokuja ndotoni ni mtu mpole sana, mkimya,huniangalia na kutabasamu, mara nyingi huwa namuota yupo jikoni au chumbani kwake amepumzika, maana hawezi kufanya tena kazi ngumu, labda kupika tu pekee.
Mara...