pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Majiraaaaani naenda raundi ya tatuuiiii hukuuu.kumbatia mkeeee sio unakumbatia mtoo

    Naenda raundi ya tatuuiiii na wife vp wewe huko Huyu mwanamke nitamuua
  2. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya Watanganyika waliofariki wakipigana katika Vita Kuu ya Pili

    ..Kuna jitihada za kuwatambua Waafrika / Watanganyika waliopigana ktk Vita Kuu ya Pili, na wale waliopoteza maisha yao. ..Hapa chini kuna majina ya Watanganyika waliopoteza maisha yao ktk vita hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Siku ya pili ya viongozi wa dini kujadili amani

    Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa ccm naomba wasome somo la kwanza na la pili siku ya kuombea waliouwa na serikali ya ccm tarehe 29/10/2026

    Naomba viongozi wa ccm ambao ni wakatoliki kama Philipo mpango na wengine siku ya kuwaombea waliouwa na utawala wa ccm tarehe 29/10/2025. Tunataka wasome masomo yote tafadhali nina hakika Mungu atakujibu Kwanza tunaombea marehemu,pili tunaombea wote walio ua hao watoto wetu Mungu atende atakavyo.
  5. JamiiForums Tanzania 20/10/2026 Yoweri Museveni wa Uganda alimpa mjukuu wake Ruhamya Kainerugaba mwana wa Jenerali Muhoozi cheo cha Luteni wa Pili

    20/10/2026 Yoweri Museveni wa Uganda alimpa mjukuu wake Ruhamya Kainerugaba mwana wa Jenerali Muhoozi cheo cha Luteni wa Pili
  6. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

    Kuna malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili, ambapo tumelipwa nusu ya fedha tulizostahili kulingana na makubaliano ya awali. Tulipohoji na kufuatilia kiasi kilichobaki, tuliambiwa na uongozi kuwa hayo ndiyo malipo yaliyopangwa, licha ya kuwa mkataba wetu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Afya na NACTVET zishughulikie matokeo yetu ya diploma kwa haraka ili yafikishwe Vyuoni

    Baadhi ya vyuo vimefunguliwa tangu tarehe 19, na wanafunzi wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza muhula mpya wa masomo. Hata hivyo, changamoto inayotukabili ni kwamba hatujapokea matokeo yetu, huku kuripoti chuoni kukihitaji kulipa ada na kujiandaa kwa mahitaji mengine ya masomo. Tunapouliza...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania SEHEMU YA PILI: "Candidat Na Biso Mobutu"—Anatomia ya Wimbo, Sauti za Tumbo na Angalizio kwa Tanzania

    Katika sehemu ya kwanza, tuliona jinsi mfumo wa "Uchawa" ulivyo na mizizi ya kihistoria inayovuka mipaka ya Tanzania na kurudi nyuma hadi katika utawala wa kiimla wa Zaire chini ya Marshal Mobutu Sese Seko kwenye uzi BIASHARA YA UCHAWA: Kutoka kwa Franco wa Zaire Hadi Kwenye Media na Mitandao ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mipeko - Mkuranga umeme ni mdogo, mwaka wa pili sasa TANESCO wameahidi kuweka Transformer kubwa

    Wakazi wa Mkuranga Mkoani Pwani maeneo ya Mipeko (MSIKITI wa KIPATI) tuna changamoto ya umeme, ni mdogo sana (low voltage) ni shida, ikifika Saa moja Jioni unakatika na kurejea Saa 6 Usiku. Giza linasababisha kutokuwepo kwa usalama katika baadhi ya maeneo, watu wanafanyiwa uhalifu. Umeme...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  13. JamiiForums Tanzania HABARI ZA HIVI PUNDE🚨 IRAN YAKAMATA NYAMBIZI YA PILI ISIYOKUWA NA NAHODHA YA MAJINI YA MAREKANI KATIKA NJIA BAHARI YA HORMUZ

    Jeshi la Wanamaji la IRGC la Iran linasema limekamata chombo kisicho na piloti cha chini ya maji cha Marekani aina ya REMUS 600 kinachofanya kazi katika Njia Bahari ya Hormuz. Kulingana na IRGC, operesheni hiyo ilihusisha uwezo wa kijasusi na vita vya kielektroniki, na inasemekana chombo hicho...
  14. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu, wa Tanzania, tunaomba ufafanuzi wa jambo hili la Eda kwa mke wa pili wa Hafidh Ameir,Mume wa Samia

    Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine? Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
  15. JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Mlokole kwa mara ya pili

    Nipo zangu mgahawani napata chakula cha mchana,pale mezani nakutana na dada mtu mzima kiasi Wote tunakula ugali na dagaa,mboga ya majani na ndondo,yes maharage Sorry to say this in case wewe ni mlokole, hawa watu huwa lazima tu wajitambulishe kuwa ni walokole kwa namna yoyote ile, hupenda...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026 Leo September...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mada: Uchambuzi wa Kina: Wimbo wa "Mary Maria" wa Vijana Jazz Orchestra (Mtindo wa Pamba Moto Awamu ya Pili)

    Habari za muda huu wana-JamiiForums na wapenzi wote wa Muziki wa Dansi (Zilipendwa). Leo naomba tuutazame kwa jicho la kiweledi wimbo wa "Mary Maria" ulioimbwa na bendi mashuhuri ya Vijana Jazz Orchestra (Wana Pamba Moto). Wimbo huu ulirekodiwa mwanzoni mwa miaka ya 1975 katika studio zetu za...
  18. JamiiForums Tanzania Pili pili hoho ni tunda la maana sana

    Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao. Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na...
  19. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu mwaka 2026 kuna uwezekano mdogo wa kufanyika mitihani ya Taifa ya Kidato cha Pili na cha Nne?

    Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea. 1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa kama inavyopaswa ni asilimia 29 2. Asilimia 30 ya wanafunzi wataingia kwenye vyumba vya mitihani...
  20. JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…