propaganda

Propaganda is communication that is used primarily to influence an audience and further an agenda, which may not be objective and may be presenting facts selectively to encourage a particular synthesis or perception, or using loaded language to produce an emotional rather than a rational response to the information that is presented. Propaganda is often associated with material prepared by governments, but activist groups, companies, religious organizations, the media, and individuals can also produce propaganda.
In the 20th century, the term propaganda has often been associated with a manipulative approach, but propaganda historically is a neutral descriptive term.A wide range of materials and media are used for conveying propaganda messages, which changed as new technologies were invented, including paintings, cartoons, posters, pamphlets, films, radio shows, TV shows, and websites. More recently, the digital age has given rise to new ways of disseminating propaganda, for example, through the use of bots and algorithms to create computational propaganda and spread fake or biased news using social media.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Amos Makalla: Achaneni na Propaganda za "No reform", Uchaguzi upo, msidanganyike

    Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa Kata, Madiwani na Wabunge wa Wilaya ya Kinondoni. Makalla amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama...
  2. Dkt. Tulia Ackson kama Rais Trump alikataa Kuburuzwa na Propaganda za Ukraine

    Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya baadhi ya watu au nchi, hususan mashambiki wa Zelensky na Ursula. Katika msimamo wake thabiti, Dkt...
  3. Njia za wananchi kutambua propaganda za wanasiasa kipindi hiki cha uchaguzi kwa sababu zishaanza tayari

    Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za kiinimacho kama vile miradi ya ghafla, misaada ya muda, na ahadi zisizo na utekelezaji wa kweli ili kuwavuta...
  4. Baada ya kushindwa kwa hoja na Lissu, CCM yahamia kwenye propaganda mfu wakidhani Tanzania ya leo ni ya mwaka 1990

    Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kuanza kutengeneza propaganda mfu wakidhani wataweza kuendelea kuwarubuni Watanzania kukubali...
  5. Jinsi ya kutambua Propaganda za Watawala kutoka kwa Noam Chomsky

    Noam Chomsky, mmoja wa wanafikra wakubwa wa zama zetu, ameandika sana kuhusu propaganda na jinsi serikali pamoja na vyombo vya habari vinavyotumia mbinu mbalimbali kuwadhibiti wananchi kwa kuwapa taarifa zilizopindishwa au kupotoshwa. Kupitia kitabu chake Manufacturing Consent (alichoandika na...
  6. Propaganda za Israel zinaenda kufikia mwisho

    Kwa miaka mingi wamekua wakiishi kwa propaganda, kuonesha wao ni special sana na kuonesha wao ni "Victims". Blaming everything and ashamed with nothing. Wame exadurate maafa ya WWII as if hakuna binadamu wengine wamekufa, zaidi ya wakristo mil. 60 waliuwawa, ila hawa hawasemwi. Like nothing...
  7. M

    Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  8. M

    Pre GE2025 Fahamu maana ya propaganda kuelekea uchaguzi wa CHADEMA na namna ya kujilinda

    Propaganda ni mbinu ya mawasiliano inayolenga kushawishi watu kuamini, kukubaliana, au kutenda kwa namna fulani kwa kutumia taarifa zilizochaguliwa, zilizopotoshwa, au zenye mwelekeo wa upande mmoja. Inalenga kuathiri maoni, mitazamo, au tabia ya watu, mara nyingi kwa manufaa ya mtoa propaganda...
  9. Ifahamu propaganda

    Wanabodi, Utandawazi Kwa kiasi kikubwa umebadilisha maisha ya watanzania na jinsi ambavyo wanapata taarifa kuhusu mambo tofauti tofauti. Lakini je taarifa hizi zinazopatikana kwenye mitandao ni sahihi wakati wote?. Jibu la hili swali ni hapana. Katika harakati zako za kupata taarifa kwenye...
  10. I

    Propaganda ni Sayansi. Chawa wa CCM mjifunze

    Katika siasa unapofanya propaganda hakikisha hiyo propaganda yako haiwezi kukurudia kinyume nyume na kuwa mwiba kwako. Hivyo proaganda ni lazima zihaririwe vizuri na kuangaliwa katika long term effect yake kwako au kwa wapinzani. Swala la Mbowe kukaa muda mrefu lilianza kama propaganda za ma...
  11. S

    Mashambulio ya kujitoa muhanga je ilikuwa kweli au propaganda?

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Nakumbuka enzi hizo nikiwa mdogo miaka ya 2000+ nilikuwa napenda sana kusikiliza BBC yaani nilikuwa sipitwi. Moja kati ya habari nazozikumbuka ni watu kuvaa mabomu kujitoa muhanga sijui sokoni, kwenye kituo cha basi n.k . Nakumbuka hizo habari zilikuwa...
  12. R

    Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  13. B

    Prof. Kabudi sasa kuongoza Vyombo vya Habari vya serikali kushinda propaganda / information war kuelekea 2025 na mbele zaidi

    Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda. Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka...
  14. Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  15. S

    Kuna watu Polisi wanajua kupindisha maelezo nadhani enzi za Hitler angewaajiri wamsaidie Joseph Goebbels kwenye kuandika propaganda!

    Yaani, katika kila tukio linalotokea, nadhani kuna watu huko Polisi ambao kazi yao ni kupindisha ukweli wa mambo kwa namna ambayo hata yule Joseph Goebbels, mkali wa propaganda wa Hitler, angewaonea wivu kwa namna ambavyo wanajua kupindua mambo! Hebu angalia hili tukio la Mgombea wa Chadema...
  16. LGE2024 Waziri Mchengerwa: Wanaodai kukatwa ni propaganda, Wagombea hawakati Rufaa kama Kanuni zinavyotaka

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi. Aidha,amesema kanuni zina ruhusa...
  17. CCM ya Marekani imeanguka kwa kishindo. Propaganda zina mwisho

    Enyi wana CCM wa kweli, jifunzeni toka kwa wenzenu. Naona mmezoea kutumia propaganda kujisafisha ilhali wananchi wenye akili wanaona jinsi mlivyo wachafu na mnanuka. Haya sasa ndugu zenu wa Democrats (CCM YA MAREKANI) mwaka huu wamefanya kama mnavyo fanyaga. Wamewatumia akina Mwijaku wa...
  18. Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema

    Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema Wachambuzi wengi wa mambo wameonya mara kadhaa kuwa masuala mengi hapa nchini yanayodaiwa kuwa na changamoto ama yanakuzwa au ni sehemu ya uzushi wa “mashine ya propaganda” ya vyama vya upinzani hasa Chadema. Leo utata...
  19. K

    Propaganda za CHADEMA na mkakati wa kuchafua taswira ya nchi

    Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho. Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
  20. K

    Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…