Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu
Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13
Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8
Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0
Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast