sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

    Ndugu zangu Watanzania, Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mimi...
  2. Pre GE2025 John Heche aliahidi kuwashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono

    Salaama wakuu Katika pitapita zangu huko katika mtandao wa TikTok nimekutana na hii video ya Heche akisema watawashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono. JamiiCheck naomba kupata uhalisia wa video hii kama ni ya kweli
  3. S

    Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  4. Maswali ninayojiuliza kwenye huu mgogoro wa DRC

    Nadhani Kagame anawapa ufadhili wa silaha na wanajeshi ili kumsaidia Mtutsi mwenzake anayebaguliwa Congo. Pia Nadhani, anawapa msaada waasi kwasababu Congo iliwaunga mkono waasi wa kihutu. Unaiunga mkono FDLR basi Nami nitawaunga mkono M23. Sasa kama Kama ni kweli Rwanda inahusika 1. Kwanini...
  5. Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  6. K

    Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

    Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015. Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. Mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji...
  7. Kwa mara ya kwanza nimeona mwanaume analia kwa sababu isiyohusisha msiba wala mapenzi

    Nilikuwa katika pitapita zangu za kawaida pale Ubungo Kibangu, lengo likiwa kumtembelea rafiki yangu wa zamani ambaye tulisoma naye sekondari. Ni kijana wa miaka 28, mcheshi na mwenye kipaji kikubwa katika mambo ya filamu. Hata hivyo, kwa sababu ambazo sikuwahi kujiuliza, hakufanikiwa kumaliza...
  8. Mkutano wa Nishati; Tuutumie kwa kuneemesha Wananchi tuna Uwezo wa Kuwauzia Umeme Afrika nzima wala hatuna Sababu ya Kununua Gesi kutoka Nje

    Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
  9. Zijue sababu za jeshi letu JWTZ kutokutoa kichapo kingine kwa M23, kama tulivyotoa mwaka 2013 hadi 2014

    Niaje waungwana Kwanza kabla ya kuelezea sababu za jeshi letu kutokutoa kichapo kwa M23, naomba kwanza nianze kuwapa historia tukufu ya jeshi letu la JWTZ au TPDF kwa nchi mbali mbali za Africa na Dunia kwa ujumla. JTWZ chini ya baba wa taifa letu hayati mwl. Julius K. Nyerere ndio iliyoongoza...
  10. U

    Pre GE2025 Wasira ametudanganya. Samia Kajiteua mwenyewe akisaidiwa na Kikwete sababu hatujui wana CCM

    Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea. Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu...
  11. Kwa Nini Wanawake wengi hawawezi kushusha Vigezo Vyao Kwa Sababu Ya Mapenzi: Hadithi Ya Princess Mako na Ayako

    Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
  12. Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

    Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
  13. Hili ni janga! Nimeona watu humu wakirushiwa matusi ya "unamsifia bwana yako" kwa sababu tu amemsifia mtu fulani. Fikra zako, Ndio dunia yako

    Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
  14. F

    Hii ndio sababu kwanini wazazi wanaosomesha Ems na Private schools wanachukia Division 1 za Kayumba Schools

    Ni ukweli ulio wazi kwamba wazazi wanao somesha watoto wao Ems za private shule ya msingi na private schools shule za sekondari wanachukia Sana kuona watoto waliosoma Kayumba kuanzia la kwanza hadi form 4 wakipata Division One form 4. Kwanini? 1. Wazazi wanaosomesha shule za EMs na private...
  15. M

    Yanga imepata sababu ya kumfukuza kocha wake. Ni 08 March

    Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA...
  16. Roma Mkatoliki abariki wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM. Kwa sababu yanawanufaisha.

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X. "Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!! Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
  17. B

    Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  18. Hivi ni ipi sababu ya msingi inayopelekea watu waliojipata kiuchumi kuachana???

    Habari za weekend wakuu, i hope mu wazima wa afya. Kama heading inavyosomeka, ni ipi hasa sababu ya msingi zaidi ya watu waliojipata kiuchumi kuachana??? Japo hata wale ambao bado hawapo vizuri kiuchumi huachana ila si kwa ukubwa kama ilivyo kwa waliojipata. Watu wanaweza kuanza maisha wakiwa...
  19. E

    Sababu kuu mbili kwanini matokeo ya Al hilal vs Yanga yalikuwa 0-1

    1.Ushindi 1-0 kwa Yanga , maana yake Al hilal kivyovyote ataongoza Kundi hata akifungwa na Mazembe 2.Yalitosha kumpa Yanga points zitakazoweza kumvusha endapo atashinda mechi yake ya Leo . Mahesabu makali ya Ibenge yamewapa Yanga unafuu wa kusonga mbele
  20. Sababu Tano unapaswa kujua body count ya Mpenzi Wako.

    Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao wa kimapenzi. Moja ya maswali ambayo mara nyingi hujengwa katika midahalo ya kimapenzi ni “Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…