sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nafsi imesahaulika. (a rant).

    Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu... Yaani the father, son and the holy spirit. Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul.. Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials.. Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

    Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
  4. JamiiForums Tanzania *ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA* *LIPO DSM VICTORIA* *UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500* NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD *FULL DOCUMENTS*

    ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA LIPO DSM VICTORIA UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500 NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD FULL DOCUMENTS BEI NI USD $6m 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #beachplotsforsale #tanzaniantiktok🇹🇿 #houseforsale #creatorsearchinsights #viral_video_tiktok_treding
  5. JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya Watanzania wengi waishi kwa matumaini makubwa sana kuhusu nchi yao ?

    Ukiwasikiliza watu wengi wa Tanzania wanaotamani mabadiliko wako na matumaini makubwa sana, wengi wanaamini kwa dhati kabisa ipo siku moja watesi wao watashindwa na kuanguka na nchi yao itakuwa yenye demokrasia pana na maendeleo tele. Ni nadra kukuta wenye mtazamo mbadala kwamba Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeamka na siku njema sana leo, niko free, shemeji kaniachia funguo za sebreni, dada kaniongezea mkwanja wa kutanua kwa zena leo. Karibuni

    Muwe na weekend njema wakuu. Msikatae asili zenu, kwanini nijifanye taita humu JF kama wengine? Mdada yoyote karibu kwa zena kuanzia saa kumi ,haijalishi una makebo makubwa au lah, karibu, drinks on me Mmoja nishatumia nauli anakuja👇
  7. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

    Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa Hata ikiangukia mwishoni. Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne. Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu. Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  9. JamiiForums Tanzania Richard Kasesela: CCM ina mvuto mkubwa sana kwa Vijana na wana matumaini nacho

  10. JamiiForums Tanzania Ni ukatili sana kutumia hii meme

    Siyo uungwana na ni ukatili mkubwa kutumia hii meme.
  11. JamiiForums Tanzania Huwa inaniuma sana kama nimezoea kula sehemu then ifungwe

    Kuna mgahawa ulikuwa classic sana. Ile sehemu wanafanya renovation na pamefungwa... Aisee nimejikuta napata hasira, maana msosi ulikuwa classic sana. Sasa nianze tena kutafuta mahala pengine Daah! Haya mambo ya ubachela bwana...😔 Si amini sana kula sehemu ambayo haina mazingira mazuri na...
  12. JamiiForums Tanzania FVS imekuja kwaajili ya Simba, walibebwa sana na makosa ya kibinadamu

    Kama hutakuwa makini unaweza kusema 90% ya TFF, Bodi ya Ligi na marefa walikuwa ni Simba kabla ya ujio wa technolojia ya FVS kwenye ligi yetu, kumbe bana haikuwa hivyo, walikuwa wanapitiwa tu. Ujio wa FVS unatuonyesha sasa kumbe marefa wetu walikuwa wanakosea tu kibinadamu kuipendelea Simba...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Possi: Taswira ya Tanzania kimataifa ni nzuri sana

    Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya. Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha...
  14. JamiiForums Tanzania Enyi wake za watu, tulieni kwenye ndoa zenu, mnasababishia vijana wadogo matatizo.

    Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa. Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
  15. JamiiForums Tanzania Je, AI itakuwa hatari sana siku zijazo AU hii ni stori ile ile ya teknolojia?

    Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli wa mjini wanavyotumia "harusi" kupiga pesa; inauma sana

    Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa 31–36 walisoma sana lakini wamechelewa kuwa wajanja wa maisha muda sio mrefu mfumo unawatema

    Kuna kizazi cha vijana wenye miaka 32,33, 34, 35 na 36 ambacho kwa kweli kinanishangaza.Wengi ni smart sana darasani na ni watulivu sana wana nidhamu fulani sio haba na wana degree zao na walikuwa na ndoto kubwa. Lakini tatizo ni kwamba wengi wamekuwa sio wajanja wa maisha. mtu ana degree...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha yana surprises nyingi sana

    Nikiwa kijana mkubwa wa secondary,kama unavyojua kuna kipindi kinafika unaona kabisa hapa wazazi inabidi wasiendelee kuzaa sasa,kwanza kutokana na umri wao lakini pili ile kuona inakuwaje bimkubwa na umri huu anabeba mimba Ilikuwa inanipa shida kidogo,lakini sikujua kwamba Mwenyezi Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

  20. JamiiForums Tanzania Bila Serikali na dola kuwa wababe sisi wanyonge tutateswa sana!!

    Katika zama hizi ambazo maendeleo ya nchi yamekuwa makubwa upo umuhimu wa kuwa na Serikali au Dola lenye maguvu na makucha zaidi ...la sivyo kila aliyefanikishwa kuwa tajiri atatutawala sana kutokana na uwezo wake kifedha. Ukiwa na matajiri wenye uwezo wa kununua vyombo vya habari kutaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…