Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote...