Katika pitia pitia yangu mitandaoni nimekutana na hili jambo ambalo binafsi lili nifanya nicheke usiku huu, nikaona hapana malegend huwa vitu vizur tunapenda kushare na wenzetu.
Inasemwa simu yako inaongea vizuri kuhusu wewe, hapa haizungumzwi brand ya simu,au ama iwe ya gharama au laa,hiyo...