system

  1. M

    TPA kwanini system zenu zipo chini (Wharfage azisomi kwenye ICD zenu haswa Tabata)?

    Moja kwa moja bila kupoteza muda ni kwamba hivi karibuni magari niliyowaagizia wateja yamekwama kutokana na system kuwa chini (Wharfage aziomi kwa wakati). Swali langu kwenu ni lini tabia hii ya uzembe itaondoka na kuepusha kero hizi ili kurahisisha biashara kusonga mbele na kuondoa mizozano...
  2. M

    Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    Habari wote, Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems). Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa biashara zako. Point of Sale (700,000 Tzs):Hii inatumika kusaidia kuhifadhi...
  3. J

    SOFTWARE Tunafanya system development kwa bei nafuu

    Kama unaitaji system za kila haina karibu sana, utatengenezewa system kwa bei nafuu sana. School management system Online examination system HR management system Collage management system Hospital management system Pharmacy management system Accountant management system n.k Call us +255 686...
  4. Features of a universal health Coverage suitable for Tanzania's needs - Opinion

    Tanzania is committed to achieving universal health coverage (UHC), which means that all Tanzanians have access to quality healthcare services without financial hardship. The government has made significant progress in recent years, but there are still challenges to be overcome. One of the main...
  5. S

    Makonda bado ana kidonda cha kutengwa, kutwezwa na kususwa na system pamoja na marafiki zake. Kazi ya uenezi itamshinda

    Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake. Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi...
  6. System Analyst–Information Technology at Jubilee Insurance October, 2023

    Position: System Analyst–Information Technology Job Ref. No: HRJLICT1023 report to the: Administratively: Chief Operating Officer Technically: Senior Manager – Long-term Applications Role Purpose The analyst is responsible for identifying and implementing application solutions to solve...
  7. Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

    Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers. Pia soma 👇👇...
  8. Waziri Nape Nnauye aomba kura za chaguzi zipigwe Mitandaoni "Electronic Voting"

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema nia Serikali ni kuhakikisha inakamilisha mchakato ili ikiwezekana chaguzi zijazo zitumie teknolojia ikiwememo Mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura ambapo amesema hilo...
  9. Je Mfumo wa Gesi una madhara gani kwenye gari?

    Habari wakuu. Kumekua na ongezeko la watumiaji wa system ya gas kwenye magari nchini... hofu yangu ni hamna elimu yoyote inayotolewa kuhusu matumizi ya nishati hiyo japo kua ni nishati cheap sana ukilinganisha na mafuta. Je, nishati hii haiwezi kua hatari kwa usalama wa chombo au hata uhai?
  10. Je, kuna option ya waliotoka foundation kwenye system ya application ya UDOM?

    Kabla sijaenda kusoma Foundation mwaka 2022, nilienda kuwauliza UDOM kwny maonesho ya Vyuo vikuu, wakanambia wanapokea, na kuna mtu alinambia kwenye system yao ya kuomba udahili ipo sehemu ya anayetokea foundation. Lakini baada ya kumaliza nimeenda kwenye maonesho ya vyuo vikuu. UDOM wakanambia...
  11. L

    Source Code ya Python Hospital management System

    Wakuu siku kadhaa nilipost kuwa nimeanza kujifunza python. Nashukuru wadau walinipa mwongozo. Kuptia python niliweza kuweza kuelewa rahisi kidogo C++ kuliko awali nilikuwa sielewi kirahisi. Naweza kusema Python imenipa msingi. So nafanya nayo mazoezi ya hapa na pale ila nimeamua nitahamia Dart &...
  12. Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  13. Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  14. Nishauri juu ya TV na Music System

    Nina Bajeti ya 1.5M kwa ajili ya TV 55" na 1M kwa ajili ya Music system. Lengo niviweke Master Bedroom. Naomba pendekezo la options ambazo sitajutia. Kwenye TV preference zangu ni true color quality (Ikiwezekana 8k) na kwenye sound system ni mtetemesho. Natanguliza shukrani
  15. Kupata Program ya POS & Accounting System

    Say goodbye to manual bookkeeping and hello to streamlined operations! Our powerful system seamlessly integrates point-of-sale transactions with accounting records, saving you time and reducing errors. 💪💰 ✨ Key Features: 📱 User-friendly interface for easy sales processing and inventory...
  16. M

    Wamejitahidi kuficha mwisho wamekubali kuwa Patriot Air Defense System imeshachakazwa na makombora hatari ya Urusi

    Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya...
  17. Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

    China has a unique system of selection and election of officials, which Canadian scholar Daniel A. Bell has described as "political meritocracy." Unlike Western models, China's selection of officials is focused on ability and merit. "Political meritocracy" is the idea that the political system...
  18. Biashara ya GPS Tracking system installation kwenye vyombo vya Usafiri

    Na kenge, Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani. UTAFANYAJE? Wizi wa vyombo ni tatizo kote duniani sasa kama ni Jobless na unatafta pakuanzia unaweza kutafta mtaji wa kuanzia LAKI 5 NA...
  19. D

    Mfumo wa gps tracking kwa ajili ya magari pikipiki na bajaji

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika ---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
  20. M

    Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

    Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system. Russian forces have delivered a massive missile strike on...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…