tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa 5, Kikao Cha 6 Tarehe 03 Novemba , 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=7S-uLGhMxNs
  2. JamiiForums Tanzania Hawamalizi matanga mpaka tarehe 6....

    Wandugu hapa kuna maana kubwa sana kiroho. Ndugu wa Lissu wasema hawamalizi matanga ya kaka yake Lissu aliyefariki . wanapoamua kuhusisha msiba na kesi ya Lissu ni laana . Kifupi roho ya marehemu itawasumbua viongozi wa Tanzania wasipokuwa makini.....
  3. JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 9/10 November mvua kubwa zitaanza kunyesha

    Hamjambo! Mimi sio TMA. Lakini kama Mwana jiografia, mazingira yananijulisha hapa kuanzia tarehe hizo mvua kubwa zitaanza kuripotiwa kunyesha. Sasa sijui itakuwa ni El nino au mvua tuu za msimu vuli. Haya nimemaliza. Naondoka Kiel nino. Kibabe yaani. TaikonMaster Kwa sasa Dar es salaam
  4. JamiiForums Tanzania 2007 Lucky Dube aliuawa na vibaka kwa dhumuni la kuiba gari yake. Ironically Dube aliuawa na watu wale wale aliowaimbia na kuwashauri dhidi ya uharifu

    https://youtu.be/P0b1Sk7_VFM?is=cLeLJ-QDzigC9brU Mnamo Oktoba 18, 2007, Lucky Dube aliuawa na majambazi wenye silaha huko Rosettenville, kitongoji cha Johannesburg, muda mfupi baada ya kuwaacha watoto wake wawili nyumbani kwa mjomba wao. Dube alikuwa akiendesha gari lake aina ya Chrysler 300C...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Hata kama kesho kutakuwa na mabomu kama ya tarehe 29, njoo Kanisani kusali

    Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa.... Usifute VPN kibindoni mwako
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazazi zuieni ajali nyingine kwa watoto wenu tarehe 29 Oktoba, 2026

    Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu zinazoandaliwa siku ya uchaguzi. Saa 8 usiku nilifika Mbeya nikalala kwenye gari asubuhi sana wakashangaa...
  8. JamiiForums Tanzania DAR: Viongozi wa Dini kufanya mkutano kuanzia tarehe 28/10 hadi 30/10 katika ukumbi Mlimani City

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026. Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa ccm naomba wasome somo la kwanza na la pili siku ya kuombea waliouwa na serikali ya ccm tarehe 29/10/2026

    Naomba viongozi wa ccm ambao ni wakatoliki kama Philipo mpango na wengine siku ya kuwaombea waliouwa na utawala wa ccm tarehe 29/10/2025. Tunataka wasome masomo yote tafadhali nina hakika Mungu atakujibu Kwanza tunaombea marehemu,pili tunaombea wote walio ua hao watoto wetu Mungu atende atakavyo.
  10. JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo Oktoba 23, 1999, Mwalimu Nyerere alizikwa Mwitongo, Butiama. Unakumbuka kitu gani siku hiyo?

    Baada ya kifo chake kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999 huko London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania na kuagwa kitaifa katika Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru) Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia tarehe 23 Oktoba. Kwa mujibu wa mila za...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rasmi:Yanga yakata rufaa TFF kupinga ushindi wa Simba kwenye Dabi ya kariakoo iliyopigwa tarehe 10/10/2026.

    Habari zenu wanajamvi. Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu. Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Unaweza usinielewe, kila kumbukizi ya tarehe yakifo cha Nyerere watumishi wengi,wanaambukizwa ukimwi, ndo siku condom nyingi hugaiwa.

    Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu. Hii ina...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tarehe 14/10/2026 Tunamkumbuka Nyerere

    Vifo vyote Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na vifo vinavyotokana na magonjwa, uzee, ajali, majanga, vita na matukio mengine, kuanzia mwaka 1961 hadi sasa Vifo vya jumla, 1961–2025 Takribani milioni 21 Haya ni makadirio ya awali, si jumla rasmi iliyothibitishwa. Chanzo cha takwimu za mwaka ni...
  14. JamiiForums Tanzania Leo tarehe 12 , 2026.

    Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto 😅 Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha 🤣 Nikaona niseme nao ,uto wapate tu😅
  15. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu dai la faini kwa abiria wa SGR

    Leo, Oktoba 10, 2026, mimi na ndugu yangu tulisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro, katika behewa namba 14, siti namba 41 na 42. Wakati wa kukata tiketi, tulifanya makosa kwa kukata tiketi mbili zenye jina moja. Hata hivyo, tulifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kupanda...
  16. JamiiForums Tanzania Huku ya Tundu Lissu ni tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi

    Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani. Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja. Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa. Baada ya kusikiliza...
  17. JamiiForums Tanzania HOJA OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026

    YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026 Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA. Ndugu Viongozi, Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiriwa wapya VETA tuliopangiwa vituo vya kazi kupitia UTUMISHI tumeambiwa tusubiri Siku 90 bila mshahara

    Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA Ndugu Viongozi, YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA VETA Kwa heshima, tunaomba kuwasilisha changamoto inayotukabili waajiriwa wapya tuliopangiwa vituo...
  19. JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva leo tarehe 29/09/2026.

    Mbona kama hii issue ipo serious sana aise. Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu. Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe. Vipi kwenu huko?
  20. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema CCM Tarehe 29 Oktoba 2025 ndiyo iliyoua watu?

    baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29. hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…