tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja zinatisha halafu unashtuka unasema "duh hii ndoto hii!". Unarudi kulala unafikiri itapita; kumbe...
  2. Upatikanaji wa leseni ya biashara halmashauri ya wilaya ya Nyasa imekuwa ni tatizo

    Kumekuwa na usumbufu mwingi namna ya kupata leseni ya biashara kwa njia ya mtandao yaani TAUSI PORTAL, hawatoi control number Kwa ajili ya kufanya malipo, ukiomba wana reject na wanapiga simu wakidai uende na hela halmashauri ukalipie, ni usumbufu sana
  3. Dkt. Janabi na Wanaharakati wa Afya tuache upotoshaji. Nchi ina tatizo kubwa la Utapiamlo na sio uzito wala unene

    Leo ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kwa upotoshaji mkubwa unaofanywa na huyu daktari pamoja na madaktari wengine uchwara wanaolazimisha ionekane kuwa nchi ipo kwenye tatizo kubwa la unene uliopitiliza wakati ni kinyume chake. Tumekuwa tukiwasikia msile wanga mara...
  4. Kamata kamata ya sukari itaongeza tatizo kwa walaji, chonde Serikali acheni hii kitu

    Nimesikitika sana asubuhi kusikia viongozi wanajitamba kuwakamata wafanyabiashara wanaouza sukari bei juu...😜😁😁Nachrka kwa dharau. Unamkamata muha,mangi mwenye kirobba cha kg 25 kanunua 100,000 unataka uauzeje sukari? Yeye kanunua duka la jumla, kosa lake ni nini? Yeye hana kiwanda, kwanini...
  5. DOKEZO Ahadi za Serikali juu ya tatizo la Mgawo wa Umeme Nchini kuanzia mwaka 2010 hadi 2024

    Desemba 24, 2010: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alitangaza kuanza kwa Mgawo Mkali wa Siku 30 nchi nzima na kuahidi utaisha Januari 2011 Machi 2011: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alisema Mgawo utaisha mwaka 2013 Juni 2014: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
  6. P

    Wataalamu tatizo la kutopata mkojo na choo husababishwa na nini?

    Kaka yangu jirani amepoteza Maisha Leo kwasababu ya tatizo hili Alifunga kupata mkojo Alifunga kupata choo kubwa Tatizo hili husababishwa na Nini ?? Tumepoteza kijana mdogo Sana
  7. Tatizo la Netanyahu ni zawadi kwa Hamas

    Baada ya kumsoma sana Benjamin Netanyahu kuhusiana na vita vyake na Hamas na matatizo ya nyumbani kwake nimemuelewa sana.Naataka niwafahamishe na wenzangu waone tatizo liko wapi. Kwa ujumla Benjamin Netanyahu ameelewa kuwa baada ya miezi 4 kuelekea mwezi wa tano hakuweza kufikia malengo ya vita...
  8. SIRA 31:25-31, Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.

    Salaam Wakuu,.... SIRA 31 Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu 25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe, maana pombe imewaangamiza wengi. 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila...
  9. D

    Kuwashwa mwili ni tatizo jipya Dar es Salaam?

    Salaam wakuu. Siku za hivi karibuni nimeona na kushuhudia wakazi wengi hapa Dar es salaam wametokwa na vipele na kuwashwa mwili. Hasa watoto nimeona wengi pia wanawashwa na vipele mwili mzima. Hivyo nauliza, huu ni ugonjwa wa kawaida au Kuna tatizo lipo? Nauliza na nini cha kufanya ikiwa...
  10. Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

    Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana . Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
  11. G

    Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

    BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA, Huruhusiwi kuongeza mke Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya, Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza...
  12. S

    Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

    Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo. Je, kitu gani...
  13. N

    Wiki yatatu sasa napiga chafya kila mara na kwa mfululizo, kuna tatizo?

    Ikitokea nimeigusa pua tu basi zinaanza kumiminika chafya nyiiingi hadi kero, Nikipisha na mtu aliyejipulizia unyunyu tu, chafya zinanitoka si za nchi hii, Shemeji yenu akiwa anakarangiza na ile harufu kunifikia, chafyaaaa. Wakati mwingjne nikikaa tu, chafyaaa. Nikiingia chumbani, chafya tu...
  14. Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
  15. Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
  16. Askofu Bagonza: Makonda ni tatizo, dalili mbaya au suluhisho?

    Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini? 1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi...
  17. N

    Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

    Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko. Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa...
  18. Tatizo la sukari ni kama biashara ya watu wachache walioweka vizingiti, tabia hii imeanza kitambo

    Kuna kipindi ilishawahi Azam cola kushtakiwa kwa sababu kutumia neno Cola sababu wenye Cola waliona ni neno lao. Hili jambo la sukari ni kama monopoly business ambayo haitaki mwengine kuanzisha kiwanda cha sukari. Ni kama familia fulani au watu fulani walijiwekea ili biashara hii ya sukari...
  19. R

    Tatizo la madereva siyo pasipoti bali gharama kubwa za vibali Zambia wanapotumia pasipoti za vitabu.

    Nimeona Makonda akisema madereva wapatiwe pasipoti kwa gharama za Mhe. Rais nikashtuka sana kwamba nchi ina viongoz wasiojua tatizo la watu wake Nchi ya Zambia ukiingia kama dereva kwa kutumia pasipoti kubwa ya Tanzania unalipishwa zaidi ya milioni moja kama gharama za vibali. Hii kero hata...
  20. TANESCO nini tatizo hasa?

    Ni kero kutwa nzima hakuna umeme na bado usiku mnakata tena umeme na hali hii ya joto Dar es salaam. Hakuna taarifa wala nini unakuta hakuna umeme. Mmetulaza giza usiku kuamkia leo na sasa mmekata tena umeme . Hali hii tuishi nayo mpaka lini? Mbona mvua mikoani zinanyesha Morogoro mvua kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…