Mfumo wa Tanzania ni ule wa zidumu fikra za mwenyekiti bado unatumika mpaka sasa,ndio maana MTU anateua then anatengua ,ni kama mwanafunzi ambae daftari lake utakuta uchafu wa kufutafuta .
Kiongozi lazima ujue maeneo yako ya mkakati machache na uyaweke chini ya watu maalumu na wajulikane...