Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema amefikia makubaliano na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ya kusitisha ufadhili wa dola bilioni 4 kwa Israel kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.
Akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Fox and Friends kinachorushwa na kituo cha televisheni cha...