uwezo

  1. Dkt. Godwin Mollel na Diamond Platnumz wakionyeshana uwezo kupiga Push Up

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama. Soma pia: Wananchi jimbo la Siha wambeba juu kwa juu Mbunge Dkt. Godwin Mollel
  2. Siri ya mapenzi ya kudumu iko kwenye uwezo wako wa kusamehe na kuendelea

    Siri ya Mapenzi ya Kudumu: Je, Uko Tayari Kusamehe na Kuendelea? (Au Bado Umeshikilia Kaa la Moto?) Leo tuna story kali kuhusu mapenzi. Yaani, ile siri ya kuwa na uhusiano unaodumu kama betri ya Nokia 3310 [Nokia Jeneza]. Mnaijua ile, hata ukiitupa ukutani inarudi ikiwa inawaka fresh tu! Wengi...
  3. Uchambuzi huu wa Saa 2 na dakika 22 utakupa mwanga wa uwezo wa Israel dhidi ya Iran, Hamas na Hezbollah

    Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
  4. L

    Mwana Siasa Yupi hapa Nchini Mwenye Uwezo wa Kukusanya Na kubeba watu Wengi Kiasi hiki Cha Rais Samia?

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Zaidi ya Upendo ndugu zanguni Watanzania.Haijawahi kutokea hapa Nchini pengine hata ndani ya Bara zima la Afrika kwa Mwanasiasa kupendwa ,kukubalika,kuungwa mkono,kusikilizwa ,kufuatwa ,kubeba na kukusanya watu Wengi kiasi hiki Utafikiri watu wanavutwa kwa sumaku...
  5. Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  6. G

    Ujumbe muhimu kwenu mnaochelewa kutafuta watoto wakati uwezo mnao

    Wito wangu, kama uwezo upo jitajidi kupata mtoto mapema, unapofika 50 at least awe mtu mzima Kwanini miaka 50 ? ni umri inaobidi uwe na mtoto anaeweza kujitegemea, anaeweza kuwa na upevu wa akili ya kupewa majukumu ya kifamilia kwa wadogo zake au biashara (kama zipo), kupunguza gharama za kulea...
  7. Wana JF kuna 15000Tsh kwa atakaejibu swali hili.

    Toa\taja tofauti tano (5) kati ya 1)Aliyeona akikusimulia na, 2)aliyesikia akikusimulia Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza. A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA 1.Alikuwepo eneo la tukio 1.Hakuwepo eneo latukio 2. 3. 4. 5.
  8. Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

    Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha...
  9. Sio Tanzania tu, hakuna nchi yoyote Afrika yenye uwezo wa kupambana na Magharibi

    Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi. Bila hata vita za silaha hakuna nchi Africa ya kuweza kupambana na ulimwengu wa magharibi. Ulimwengu wa magharibi ukiamua nchi...
  10. Hamas na Houth wasema wana uwezo wa kuendeleza vita na Israel kwa muda mrefu ujao.

    Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel. Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya...
  11. M

    Kadri umri unavosogea napoteza uwezo wa kusikia kinachoendelea around napokuwa usingizini

    WAKUU nachukia na nashindwa kukubaliana na UKWELI na hali halisi. Nilijigundua nina uwezo flani tangu nilipokuwa o level. Kifupi ni kwamba ninauwezo wa kuskia kinachoendelea napokuwa nimelala/kusinzia. Uwezo huu ulikuwa mkubwa kipindi nipo chuo yani kuna siku washkaji hawakuanini nilikuwa...
  12. M

    Mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba?

    1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ? Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
  13. L

    Imedhihirika Hakuna kiongozi wa Upinzani Mwenye uwezo wa Kufanya Mdahalo na Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa mnaweza kuelewa ni kwanini Edwin Odemba alilia na kububujikwa machozi hadharani kama mtoto mdogo pale alipoona Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameshindwa kufika na kuhudhuria kwenye mdahalo kutokana na kutingwa na majukumu ya chama ,ambapo alikuwa anaendesha vikao vya...
  14. Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Habari wana JamiiForums. Nimejipiga piga hapa nikajikung'uta kila kitu nikanunua Mazda CX5 sasa nilikuwa naomba mwenye kujua garage nzuri yenye mafundi wa Mazda
  15. Tuna Tatizo la Uwezo wa Uendeshaji Uchumi Wetu?. TAZARA Asante Mchina, Vipi Mingine? Hatutafika Mahali Tukahitaji Kusaidiwa Hadi Ikulu Yetu?.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
  16. Askari wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano Nchini Marekani wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

    Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
  17. M

    Namuona Damas Ndumbaro jukwaani. Ila sijaona mchezaji mwenye uwezo binafsi kama Sanifu Lazaro Tingisha.

    Kimbiza , finya, mwaga jalo. Kwa ufupi hatuna timu na wachezaji kama miala ya ile.
  18. L

    Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

    Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo. Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana. Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
  19. L

    Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

    Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila...
  20. Mifumo ya Elimu inavyo wafanya watoto kupoteza uwezo wa kuuliza na kuhoji

    Habarini wadau na wazazi wote katika jukwaa hili... Ukizungumza na watoto wadogo waliopo madarasa ya awali, utakutana na wengi wao wakiwa na hulka au ushawishi wa kujua mambo mengi ya kisayansi na mazingira. Na wanauliza maswali muhimu, wanauliza " ndoto ni nini, kwanini tunalala usingizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…