vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  2. Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

    Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA. Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum kila la Kheri CHADEMA Allah azidi kuwaongoza!
  3. Ubunifu: vyombo vya mbao kwa kutumia miundo ya wanyama

  4. MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYOMBO VYA MOTO

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  5. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na vyombo vya moto

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  6. Dodoma: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi

    DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
  7. Pre GE2025 Kwa anayoyaongea Lissu kuhusu uchaguzi, vyombo vya ulinzi na usalama vina machaguo matatu tu

    Habari Ndugu zanguni, Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa...
  8. Wakuu, Maelfu Kwa maelfu ya watu eneo la Gairo wamsubiria LISSU kuanzia Asubuh mpaka Jioni alipopita, CCM imeanza kuvikamata vyombo vya habari

    Hivi nyie vyombo vya habari, nyie sindo CCM ilikua inawafungia ? Na kuwawekea mitozo mingi na migharama mingi kwenye kuanziasha hizo Online TVs ? Mmeshajisahau. Kesho ni Mkutano Mkubwa wa LISSU , ila nauhakika Online TVs na Main Media zitajifanya kuupotezea Kwa sababu ya mlungura, biti na...
  9. DOKEZO Kibaha kwa Mfipa kuna vibaka wanaopora na kujeruhi watu, Vyombo vya Ulinzi vikomeshe hali hii

    Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao. Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
  10. Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii. Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
  11. Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
  12. Pre GE2025 Kina Halima Mdee kufika uchaguzi mkuu 2025 wakiwa Bungeni ni Dharau kubwa kwa vyombo vya Sheria , nini kifanyike ?

    Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine . Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala . Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu. Hawa wabunge 19 wanamaliza...
  13. Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  14. Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  15. G

    Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

    2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ) Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
  16. Wasiobadili umiliki wa vyombo vya moto wapewa siku 13

    Wakuu Walee tunaonunua ndinga mikononi mwa watu bila kubadili umiliki tumefikiwa. TRA imesema kuanzia January 20 itaanza kutumia mfumo unaoitwa IRAS ambao hautaruhusu alieuziwa chombo cha moto kubadili umiliki, badala yake alieuza chombo hicho ndiye atakua na uwezo wa kubadili umiliki pekee...
  17. Elon Musk: Vyombo vya habari vimeshakufa, mitandao ya kijamii imechukua nafasi zao

    Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk. Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
  18. Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni

    Salaam Wakuu, Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi. Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni. Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
  19. M

    Elia Mpanzu acha kucheza na majukwaa utapotea kama moshi hewani,,vinginevyo ubora wako nauona wa kawaida bali ulibebwa na vyombo vya habari!

    Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work! Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa...
  20. Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…